Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mkuu habari za under 21 tena na michuano kama UEFA,EPLna FA CUP ??????
You must be kidding.
 
Mimi naona RB nae ni sehemu ya tatizo, kwa muda sasa mashabiki wengi wa Liverpool wamekuwa walia na rightback, defensive midfielders, na sasa limeongezeka lingine la striker. kuna wachezaji wapo pale ila kwa kiwango chao cha sasa hawastahiri kuendelea kuwa kwenye kikosi cha kwanza


1. STEVEN GERRARD, najua wapenzi wengi wana mapenzi nae ila tactically SG ni attacking minded mildfielder, na hawezi play ila role ya kuwa anchor kati ya defense na midfield hata kuichezesha timu siyo sana, kwa wale ambao wameangalia mechi zote za pre-season watakubaliana na mimi, kwa mechi zote alizoingia Lucas na kucheza kama DM timu ilionekana organized na alikuwa anaichezesha timu vizuri kuliknganisha na SG. Muda sasa BR kama anataka timu ifanye vizuri either Lucas or Can wacheze kama DM


2. Glen Johnson, kwa muda mrefu Johnson amekuwa akiishi kwenye kivuli chake amekuwa akipoteza mipira kizembe zaidi na siyo mzuri defensively amekuwa ndo weakest link. Ni muda muaafaka sasa kwa BR kumrudisha Flanagan though siyo mzuri sana kwenye attacking atatufaa sana kuliko kuwa na Johnson kwenye hiyo position


3. Kolo Toure, Toure huyu wa leo siyo yule wa kipindi kile akiwa Arsenal kiwango chake kimeshuka sana sidhani kama naweza kuwa bora kuliko Agger, ana-panic sana anapokuwa nyuma huku anakabwa kama last defender akutakiwa kuwa hivyo.


4. Martin skrtel, msimu uliyopita wameruhusu magoli mengi sana na ile tabia yake ya kukumbatia na shirt pulling kwenye box ili kuwa ni hatari sana ana bahati marefa walikuwa hawaoni. Kwa kifupi tu alikuwa shaky sana, mi nadhani mchezaji anaestahiri kuchukuwa nafasi yake ni Tiago Illori kwa wale waliyo muangalia on loan spain watakubariana na mimi yupo calm sana at the back ata kama yupo kwenye pressure.


In a really sense Liverpool tuna mchezaji mmoja tu ambaye ni attacking midfield ambaye ni Countinho na kama ataumia basi kazi itakuwa ngumu sana. Sterling siyo attacking midfielder japo anaweza cheza pale. Luis Alberto alikuwa ni mmoja wa creative midfielder amemtoa kwa mkopo na kumpeleka Spain mi nadhani kama alitaka kutoa kwa mkopo angebakia hapo hapo England.



Tatizo la BR, mfumo wake anaoingia nao uwanjani ukidhibitiwa basi ushindi hapo utakuwa ni ngumu au ndoto kabisa kama ukiangalia game ya pre season na Man united kwasababu LVG tactically alim-outsmart BR kwenye kipindi cha pili na ndio hapo tatizo lilipo na beki inayo panic wakisha fungwa tu.



Hawa youngsters tuliyo nao ni wazuri na watakuwa wazuri sana kama watakuwa nurtured vizuri the likes of Jordon Ibe, suso, Teixiera, brannagan, yesil, trikett-smith, peterson
 
Mkuu habari za under 21 tena na michuano kama UEFA,EPLna FA CUP ??????
You must be kidding.


kwahiyo leo hii unawza kum-rule out sterling kisa ni U21? kama unauwezo haijalishi una umri gani, una kumbuka Jovetic akiwa Fiorentina kwenye champions league alifanyaje baki wetu? na alikuwa na umri gani?
 

hapo kwa SG, ni kwamba BR had to shift Him kwenye Deeper role (defensive) coz Lucas alikuwa amedrop kiwango last season..

And SG adapted role mpya fasta sana..u can see his stats for the 2013/2014..na ndo maana alikuwepo kwenye team ya EPL ya msimu..

tackles won- 69%
interceptions-48
crealences-91%
shot accurancy 65%
chances created 69
pass accurancy 86%
dribble succes 71%

kwa stats hizo sidhan kwamba SG alizingua last season, ndo alikuwa nguzo yetu katika midfield..na he had to play deeper zaid kutokana na defense yetu ilivyokuwa mbovu, so alikuwa anarud sana nyuma kuicover defense, na ndo alikuwa anafungua nafasi za mbele, kwa kuanzisha mipira akitokea nyuma..alikuwa anakosa mtu mwingine mwenye nguvu wa kumsaidia katika midfield, ndo maana BR bought Can,

kwenye mfumo wa 4-3-3 au aina nyingine za Mifumo ya BR, ambayo ndo anatumia Guardiola na Klopp, unahitaji midfield ambaye anapass accurancy nzuri, ambaye anajua kupiga pass, na kuutanua uwanja (busquet, kroos, alonso) you dont need fernandiho, gustavo, sandro, ramirez etc, ndo maana stats zinaonyesha SG was one of the best Defensive mid last year katika EPL.

kwa sasa i'd rather play Jonas mkude wa simba katika competitive match kwenye midfield kuliko kumchezesha Lucas..ukweli ni kwamba lucas kadrop saaana kiwango..he needs to step up very fast..

When we bought coates from nacional, he was the best youngest CB in uruguay and Copa america, But alipata nafas chache za kucheza kutokana na majeruhi ya mara kwa mara, it was a good idea kumpeleka on loan tena nacional, coz amerud na ameimprove zaid, ndo maana BR kasema hamtoi tena kwa mkopo, na the way Illori is playing ni kama Coates kwa kila kitu..so we have coates now, illori needs more time to adjust..kuliko abaki na kukaa bench..COATES will suprise a lot of peaple this season..just wait and see.

Kolo toure is just a surplus ni kama lambert.(exprience katika dressing rooms)

When MS, played with Agger, they kept a lot of clean sheets together..but he was very uncomfortable when playing with Black MS na kolo..so nadhan tutaendelea zaid kuona partnership ya MS na DL sana this season..with Coates and Sakho as backUps..

Aaaaaaaand...when we're are talking about LFC defense GJ is just like AIR you cant see it or touch it..HE'S COMPLETERLY SHIT.
 
Ndugu zangu Moreno is likely kama tumempata inasubiriwa tu baada ya August 12 atangazwe!
Je kuna tetesi zozote reliable za striker maana Lambert ni miyeyusho tu
Anya tetesi za striker?
 


Hata kama alikuwa na performance nzuri angalia hizi data kutoka kwenye official Lfc website halafu uniambie kama SG was worth enough to start, kweli Lucas alikuwa na misimu miwili mibaya baada ya kuumia vibaya ila kwa hizi stats Lucas amem-outplay SG in defensive midfield role kwa msimu wa 2013-2014







Lucas
Leiva
21
Central Midfield
1.79m
73 kg
9 Jan 1987
Dourados
Brazil

[TD="class: ProfileList"]First Name
[/TD]

[TD="class: ProfileList"]Surname
[/TD]

[TD="class: ProfileList"]Squad Number
[/TD]

[TD="class: ProfileList"]Position[/TD]

[TD="class: ProfileList"]Height[/TD]

[TD="class: ProfileList"]Weight[/TD]

[TD="class: ProfileList"]D.O.B.
[/TD]

[TD="class: ProfileList"]Town of Birth[/TD]

[TD="class: ProfileList"]Country of Birth[/TD]


[TD="class: ProfileHistory"][/TD]

[TD="class: ProfileHistory"][/TD]



[h=2]Player Comparison 2013/2014[/h]
Position
Games played
Minutes Played
Starts
Substitution On
Substitution Off

[TH="class: player1, colspan: 2"]Lucas Leiva[/TH]
[TH="class: hidden"]Comparison[/TH]
[TH="class: player2, colspan: 2"]Steven Gerrard[/TH]

[TD="class: player1 image"] [/TD]
[TD="class: player1"]MF[/TD]

[TD="class: player2"]MF[/TD]
[TD="class: player2 image"] [/TD]

[TD="class: player1"]27[/TD]

[TD="class: player2"]34[/TD]

[TD="class: player1"]1,872[/TD]

[TD="class: player2"]2,900[/TD]

[TD="class: player1"]20[/TD]

[TD="class: player2"]33[/TD]

[TD="class: player1"]7[/TD]

[TD="class: player2"]1[/TD]

[TD="class: player1"]5[/TD]

[TD="class: player2"]6[/TD]
[h=3]General[/h]
Passes
Passing Accuracy
Passing Accuracy opp. Half (%)
Duels Won
Duels lost
Duels won (%)
Aerial duels won
Aerial duels lost
Aerial Duels Won (%)

[TH="class: player1"]Lucas Leiva[/TH]
[TH="class: hidden"]Comparison[/TH]
[TH="class: player2"]Steven Gerrard[/TH]

[TD="class: player1"]1,425[/TD]

[TD="class: player2"]2,219[/TD]

[TD="class: player1"]90.7%[/TD]

[TD="class: player2"]86%[/TD]

[TD="class: player1"]88.5%[/TD]

[TD="class: player2"]80.2%[/TD]

[TD="class: player1"]163[/TD]

[TD="class: player2"]174[/TD]

[TD="class: player1"]126[/TD]

[TD="class: player2"]119[/TD]

[TD="class: player1"]56.4%[/TD]

[TD="class: player2"]59.4%[/TD]

[TD="class: player1"]58[/TD]

[TD="class: player2"]43[/TD]

[TD="class: player1"]34[/TD]

[TD="class: player2"]43[/TD]

[TD="class: player1"]63%[/TD]

[TD="class: player2"]50%[/TD]

[TD="class: player1"][/TD]
 
 
ubingwa tulipotezea kwa west brom, swansea na aston villa, wala siyo SG aliyetukosesha ubingwa waliyo tukosesha ubingwa ni skrtel na kolo toure
 
Manquillo & Lovren kwenye training leo
 

Attachments

  • 1407536177032.jpg
    54.4 KB · Views: 91
  • 1407536190595.jpg
    70.7 KB · Views: 93
Goodluck PEPE REINA

Unaweza kuingia kwenye Official website yake "pepereina25.com" Kusoma barua yake ya kuwaaga LFC fans and LFC kwa ujumla..

He'll always be a LEGEND.
 

Attachments

  • 1407536451437.jpg
    94.1 KB · Views: 82
Emre can
 

Attachments

  • 1407537012275.jpg
    71.8 KB · Views: 80

hao watatu uliowataja wote wameshapata solution, Emre, Lovren na Flanagan and Sakho is fitting well... Ninachoshangaa ni wewe kukomalia Trikett who cant even beat Lambert for a spot in any team

I think you are biased

Let the manager do his job, he knows more about soccer than me and you

None expected Liverpool to finish in top four and we nearly won the title.... fullbacks waliopo hawatosshi but if Moreno joins, the Flano and Moreno will be starters

Gerro is a starter but wont play 90 minutes day in day out... we have Hendo and Emre

Skertel sio mbaya kama unavyotaka tuamini, if you looked at may goals zilikua either fast break-split in the middle, set pieces au cross hayo ni makosa ya upangaji wa defence kuliko individual players (we saw it in the WC kwa spain national team, mabeki walikua wanajikuta wako sehemu moja na kuacha void kubwa kwa strikers wa opposing team)

The problem we have now ni striker, na sababu kubwa ni Luis Suarez kuondoka na he can be replaced, the team has to adjust... it took us 3 years to replace Torres with Suarez, so expect at least two years to replaces Suarez... only thing we can do ni kuadjust team set up and he is doing it very well with attacking and pacy midfielders kama Lazar, Lallana, combined with Philipe, Sterling, Ibe and Suso

Be positive
 
ubingwa tulipotezea kwa west brom, swansea na aston villa, wala siyo SG aliyetukosesha ubingwa waliyo tukosesha ubingwa ni skrtel na kolo toure

yes tulipoteza ubingwa huko na the game against chelsea ila kumlaumu skertel and kolo pekee bila kipa na stevie unakosea sana

Timu nzima was responsible... midfielders wanatakiwa kurudi ku-cover defence etc

Anyway naona kuna watu umewaamulia sana especially Skertel and kolo

good luck
 
Skirtel yupo safi sana,alijifunga magoli manne,akafunga 7,uzuri wake anafunga,anajifunga! Kolo yeye anajifunga tuu!
 

Tulipoza ubingwa kadi nyekundu alipewa Henderson hiyo ndo ilialibu kila kitu.
 
Tulipoza ubingwa kadi nyekundu alipewa Henderson hiyo ndo ilialibu kila kitu.

i dont blame him, it was the heat of moment but yes, his absence exxposed Gerro but we lost the title kwa kushindwa kuchukua point kwa chelsea home and away, we didnt beat southampton at home, WBA, Aston Villa draws, and we conceded too many goals

But Gerro slip is one of the most visible blunder, he will live with it forever
 

Ni kweli, lakini impact ya Tangu kadi hile, ilikuwa kubwa kuliko kufikilia kosa la SG mechi ya chelsea.SG alikosa mtu wa kumsaidia, Henderson alikuwa anasaidia kushambulia pia na kurudi nyuma.ndiye mchezaji aliyekimbia speed kwa muda mwingi msimu uliopita,alikuwa anatibua moving nyingi Za adui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…