Thenx mkuu!!!
Osokonoi na Pazi this is a must win game coz tupo Anfield and it means alot to LFC fans.
Kiongozi
Amanijua nashukuru kwa kunipa alert
Kutokana na majukumu yakijamii, gemu yetu na manuer ilibidi niiangalie kimanyatunyatu. Pamoja na kwamba muda niliukosa lakini kwa vichache nilivyoviona naomba kuanisha machache.
BACK LINE
Nimeona mabadiliko ya kiasi fulani kwa Mig, hasa reaction yake pale ambapo mabeki walionekana kufanya uzembe. Pamoja na kwamba hakupata misukosuko lakini he was vocal and work hard to arrange his back line. Kimoja ambacho nakiona hakija improve ni kuchelewa kufanya maamuzi anapopata pasi kutoka kwa defenders wake.
Manquillo was amazing
dogo alicheza kwa kujiamini na forward movement zake aliweza kuziunganisha vizuri na hendo as if they has been together for years.
The two towers (Skrtel & Lovren), walifanya kazi yao inavyostahili. I think msimu huu unaoanza tutegemee goli 14 between them...
GJ alicheza vizuri. Kuna mtu hapa kwenye jukwaa letu aliwahi kusema kwamba huenda jamaa anasumbuliwa na maswala ya kinyumba. Probably shemeji kasikia kilio chetu na ndiyo maana kuna mabadiliko.
MID/FORWARD LINE
Kwa movements nilizoziona, nathubutu kusema kwamba dimba la kati lilidhibiwa vizuri. Hendo ni mashine na wakati wote was there to team up with can na kumsaidia SG at the same time bombing forward as RW. His one two with Manq was great and his goal was phenomenon. Mtaalamu wa long balls alionyesha ujuzi wake and Can waking his way to fit inn. And what can we say on Rahem and Phill ambacho hakijasemwa
Ishu iliyoko wazi kwasasa ni tatizo la striker. You could see that makali yalikwisha baada ya Danny kutoka. BR anamtaja rickie as
Valuable member of the Squad and that he got goals at whatever level he plays at
Kwangu mimi ninachohisia ni kwamba he is still emotional and he has to overcome that