Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm mwenyewe nashangaa sana why Mbu asiye KOPS awe anatuunganisha hapa?Tujisimamie mwenyewe na Mbu aendelee na Arsenal yake
....Guys, YOU WILL NEVER WALK ALONE... hebu iendelezeni thread yenu, duh, mmeuchuna as if hamuongozi league? au hamjiamini amini?
haya.... nitarudi tena humu mpaka mzoee!!!
Wadau huu uzi wetu naona unasogea kwa kasi ya kimbunga! Wakati mimi nakuja kujitambulisha humu miaka mitatu iliyopita,tulikuwa na posts kama 3000 plus hivi,naona saivi tupo kwenye 10000 plus! Tuendelee kujadidiliana kuhusu LFC....but natamani sana uzi huu ungekuwa under control ya LFC fan,tungeupendezesha sana hapo juu...huyu Mbu mtu wa Asenali anazingua sana,hivi hatuwezi kuwasiliana na Mods wahamishe umiliki? MosDef Janjaweed The Boss Malafyale Tores Mzee Wa Rubisi na Kopites wote humu,tufanyeje kupata umiliki kamili wa hii thread kutoka kwa Mbu ? Ili tuweze kuiupdate?
KB, I was about to say the same thing, miaka yote walikuwa wapi? Walikuwa hawana cha kusema seasons zilizopita sasa wameona this season kuna matumaini ndo wanaanza kuchonga! Hata manager wao kaanza kuongea! Jamani msimuone mgonjwa kamaliza bakuli la uji mkadhani ndo kapona..........!
....hahaha, yale yale!....
Mjini hapa, ujanja kuwahi.
utapewaje hati miliki bure bure tu?...
.....hahhaha! mimi ndio #moderator wa thread hii, na ukiendelea kunikashifu nakupiga ban humu humu
ukachangie thread nyingine 🙂)
Mbu hacha mambo yako bana ban imetoka wapi sasa? Kitu cha msingi hapa ni wewe kukabidhi majukumu ya umoderator kwa wanakops wenyewe.haina haja ya kulumbana ktk hili.Ynwa
......haya, chukua wewe u moderator wa jukwaa hili ndio nishakukabidhi mikoba 😊😊😊
#MosKwito !
Thenx mkuu!!!
Osokonoi na Pazi this is a must win game coz tupo Anfield and it means alot to LFC fans.
.....hahhaha! mimi ndio #moderator wa thread hii, na ukiendelea kunikashifu nakupiga ban humu humu
ukachangie thread nyingine 🙂)
Mbu hacha mambo yako bana ban imetoka wapi sasa? Kitu cha msingi hapa ni wewe kukabidhi majukumu ya umoderator kwa wanakops wenyewe.haina haja ya kulumbana ktk hili.Ynwa
Hivi mbu ni kiherehere kipi kiliku2ma ufungue hii thread wakati we si mwanakop? Tupe accsess sasa make yote haya ni sababu ya kiherehere chako mkuu!
Pepe Reina told Moreno that a move to Liverpool was an oportunity that he couldn't turn down!
REINA ONCE A RED ALWAYS A RED! .....Bado najiuliza ASPAS sura yake ataiweka wapi kama ni kua alimshauri Moreno hasije Anfield???
Kwasasa nasubiria ingizo jipya la Striker!
YNWA!!!
Mkuu hii nimeipata kwenye forum ya The Anfield talk.....na katika kufuatilia zaidi nikagundua kua wenyewe wameipata kutoka kwa reliable reports in Spain lakini hawakumention ni nani aliyesema kati ya reina na moreno!nani kasema,moreno mwenyewe au