Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mm mwenyewe nashangaa sana why Mbu asiye KOPS awe anatuunganisha hapa?Tujisimamie mwenyewe na Mbu aendelee na Arsenal yake

....hahahahahah!.......mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Ref post yangu ya 11th January, 2009.


....Guys, YOU WILL NEVER WALK ALONE... hebu iendelezeni thread yenu, duh, mmeuchuna as if hamuongozi league? au hamjiamini amini?

haya.... nitarudi tena humu mpaka mzoee!!!
 
Wadau huu uzi wetu naona unasogea kwa kasi ya kimbunga! Wakati mimi nakuja kujitambulisha humu miaka mitatu iliyopita,tulikuwa na posts kama 3000 plus hivi,naona saivi tupo kwenye 10000 plus! Tuendelee kujadidiliana kuhusu LFC....but natamani sana uzi huu ungekuwa under control ya LFC fan,tungeupendezesha sana hapo juu...huyu Mbu mtu wa Asenali anazingua sana,hivi hatuwezi kuwasiliana na Mods wahamishe umiliki? MosDef Janjaweed The Boss Malafyale Tores Mzee Wa Rubisi na Kopites wote humu,tufanyeje kupata umiliki kamili wa hii thread kutoka kwa Mbu ? Ili tuweze kuiupdate?

Jambo la msingi sana magnificent umeongea ngoja tuanze kulishughulikia hili swala ili tupate umiliki halali wa group letu.
 
Last edited by a moderator:
Pepe Reina told Moreno that a move to Liverpool was an oportunity that he couldn't turn down!
REINA ONCE A RED ALWAYS A RED! .....Bado najiuliza ASPAS sura yake ataiweka wapi kama ni kua alimshauri Moreno hasije Anfield???

Kwasasa nasubiria ingizo jipya la Striker!

YNWA!!!
 
KB, I was about to say the same thing, miaka yote walikuwa wapi? Walikuwa hawana cha kusema seasons zilizopita sasa wameona this season kuna matumaini ndo wanaanza kuchonga! Hata manager wao kaanza kuongea! Jamani msimuone mgonjwa kamaliza bakuli la uji mkadhani ndo kapona..........!

Mbu mwenyewe si umemuona alivyo na mbwembwe hapo juu,solution ilobaki ni kuwakomalia mods tu,huyu Mbu hawezi kusaidia kitu hapa

.....hahhaha! mimi ndio #moderator wa thread hii, na ukiendelea kunikashifu nakupiga ban humu humu
ukachangie thread nyingine 🙂)
 
....hahaha, yale yale!....
Mjini hapa, ujanja kuwahi.
utapewaje hati miliki bure bure tu?...

Hivi mbu ni kiherehere kipi kiliku2ma ufungue hii thread wakati we si mwanakop? Tupe accsess sasa make yote haya ni sababu ya kiherehere chako mkuu!
 
.....hahhaha! mimi ndio #moderator wa thread hii, na ukiendelea kunikashifu nakupiga ban humu humu
ukachangie thread nyingine 🙂)

Mbu hacha mambo yako bana ban imetoka wapi sasa? Kitu cha msingi hapa ni wewe kukabidhi majukumu ya umoderator kwa wanakops wenyewe.haina haja ya kulumbana ktk hili.Ynwa
 
......haya, chukua wewe u moderator wa jukwaa hili ndio nishakukabidhi mikoba 😊😊😊


#MosKwito !

Mbu let me tell u something......hata waingereza walitawala tz na nchi nyingine za afrika....lakini ilipofika wakati walikabidhi madaraka kwa wazawa na wakasepa......wewe shida iko wapi? Hacha uroho na tamaa ya umoderator. Wewe ni arsenal na sisi ni LFC period!
 
Thenx mkuu!!!
Osokonoi na Pazi this is a must win game coz tupo Anfield and it means alot to LFC fans.

Kiongozi Amanijua nashukuru kwa kunipa alert

Kutokana na majukumu yakijamii, gemu yetu na manuer ilibidi niiangalie kimanyatunyatu. Pamoja na kwamba muda niliukosa lakini kwa vichache nilivyoviona naomba kuanisha machache.

BACK LINE
Nimeona mabadiliko ya kiasi fulani kwa Mig, hasa reaction yake pale ambapo mabeki walionekana kufanya uzembe. Pamoja na kwamba hakupata misukosuko lakini he was vocal and work hard to arrange his back line. Kimoja ambacho nakiona hakija improve ni kuchelewa kufanya maamuzi anapopata pasi kutoka kwa defenders wake.

Manquillo was amazing…dogo alicheza kwa kujiamini na forward movement zake aliweza kuziunganisha vizuri na hendo as if they has been together for years.

The two towers (Skrtel & Lovren), walifanya kazi yao inavyostahili. I think msimu huu unaoanza tutegemee goli 14 between them...

GJ alicheza vizuri. Kuna mtu hapa kwenye jukwaa letu aliwahi kusema kwamba huenda jamaa anasumbuliwa na maswala ya kinyumba. Probably shemeji kasikia kilio chetu na ndiyo maana kuna mabadiliko.

MID/FORWARD LINE
Kwa movements nilizoziona, nathubutu kusema kwamba dimba la kati lilidhibiwa vizuri. Hendo ni mashine na wakati wote was there to team up with can na kumsaidia SG at the same time bombing forward as RW. His one two with Manq was great and his goal was phenomenon. Mtaalamu wa long balls alionyesha ujuzi wake and Can waking his way to fit inn. And what can we say on Rahem and Phill ambacho hakijasemwa…

Ishu iliyoko wazi kwasasa ni tatizo la striker. You could see that makali yalikwisha baada ya Danny kutoka. BR anamtaja rickie as …”Valuable member of the Squad” and that he got goals at whatever level he plays at…
Kwangu mimi ninachohisia ni kwamba he is still emotional and he has to overcome that…
 
.....hahhaha! mimi ndio #moderator wa thread hii, na ukiendelea kunikashifu nakupiga ban humu humu
ukachangie thread nyingine 🙂)

Tunaomba madaraka yetu kamili mkuu Mbu!
Kabidhi rasimu ya madaraka kwetu tafadhali tuendelee wenyewe lkn tunashukuru
 
Last edited by a moderator:
Mbu hacha mambo yako bana ban imetoka wapi sasa? Kitu cha msingi hapa ni wewe kukabidhi majukumu ya umoderator kwa wanakops wenyewe.haina haja ya kulumbana ktk hili.Ynwa

Sasa tujitawale wenyewe!@mbu umeacha matukio makubwa 4 kuyataja kwenye historia ya Liverpool hasa matukio yale mawili yaliyo ua mamia ya ndugu zetu na vifo vya makocha Bill Shanky na Bob Peasley
 
Hivi mbu ni kiherehere kipi kiliku2ma ufungue hii thread wakati we si mwanakop? Tupe accsess sasa make yote haya ni sababu ya kiherehere chako mkuu!

Kaifanya historia ya Liverpool ipwaye sana hapo!Kwa kweli atupe madaraka yetu tuandike upya tuwataje akina Bill Shanky na maafa yetu yaliyo ua mamia
 
Mbu mwenyewe si umemuona alivyo na mbwembwe hapo juu,solution ilobaki ni kuwakomalia mods tu,huyu Mbu hawezi kusaidia kitu hapa

Kule Arsenal wamesema Wenger atakumbukwa kwa mchango wake Arsenal lkn kwetu nguli kama Shanky hajatajwa popote!

Hapana jamani tudai uhuru wetu
 
Last edited by a moderator:
Pepe Reina told Moreno that a move to Liverpool was an oportunity that he couldn't turn down!
REINA ONCE A RED ALWAYS A RED! .....Bado najiuliza ASPAS sura yake ataiweka wapi kama ni kua alimshauri Moreno hasije Anfield???

Kwasasa nasubiria ingizo jipya la Striker!

YNWA!!!

nani kasema,moreno mwenyewe au
 
nani kasema,moreno mwenyewe au
Mkuu hii nimeipata kwenye forum ya The Anfield talk.....na katika kufuatilia zaidi nikagundua kua wenyewe wameipata kutoka kwa reliable reports in Spain lakini hawakumention ni nani aliyesema kati ya reina na moreno!

[h=1]Ynwa[/h]
 
Huyu mbu mtata sana... Labda atafutiwe dawa ya Rungu ili aache ubishi!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom