Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Muuza mechi - Kolo Toure bado yupo?
Tukipata striker wa kuvuna mabao basi mwaka huu ni kimbunga tu!
 
Muuza mechi - Kolo Toure bado yupo?
Tukipata striker wa kuvuna mabao basi mwaka huu ni kimbunga tu!

Kolo kagoma kuondoka, kadai anataka kumalizia mkataba wake na yupo tayari kupigania namba.
 
Kolo kagoma kuondoka, kadai anataka kumalizia mkataba wake na yupo tayari kupigania namba.

Sasa namba anapigania na nani hasa??????
Maana Coates,Lovren,Agger,Skirtel na Sakho wote wamemzidi uwezo.
Labda kama hataki kucheza mpira.
 
Sasa namba anapigania na nani hasa??????
Maana Coates,Lovren,Agger,Skirtel na Sakho wote wamemzidi uwezo.
Labda kama hataki kucheza mpira.

Hataki kucheza yule anachojali ni mshahara anapata suala la kuporomoka kiwango halimuumiz kichwa.
 
Sasa namba anapigania na nani hasa??????
Maana Coates,Lovren,Agger,Skirtel na Sakho wote wamemzidi uwezo.
Labda kama hataki kucheza mpira.

Ila BR naye kasema anamuhitaji, bado yupo kwenye mipango yake. Hapa ndio naona akili za Rodgers eti anamuhitaji Kolo af hamtaki Agger.
 
BR is desperate to repeat Mourinho's mistake,by signing Samuel Eto'o...
Huyu BR na mauzauza yake. Anajua kabsa timu haina striker wa ueleweka anataka kutuletea maganda ya miwa kama Etoo?
Akamchukue Reus ama Shaqiri ama hata Baloteli
 
Ben smith saying we did enquired for Benzema, falcao and Cavani BUT the answer was *NO CHANCE* kutoka kwa hizo club husika (RMA, Monaco and PSG)..

Huo ni uongo tu, from REMY to Benzema, cavani na Falcao mpaka kwa Eto'o, really????

Na kama upo serious kwa Cavani utashindwa kumoata kweli??..ukichukulia he's desperate to move, just throw that £40m..and offer him £180000k per week...kolo toure is on 70k per week (BR should let him leave), Lucas is on 70k per week too, GJ is on 120k per week..sell them then balance mshahara wa cavani kwa hawa uliowauza..

I'd rather have Cavani than Etoo, Bony, Icardi or Lacazzete..

We need an established ST...
 
Ila BR naye kasema anamuhitaji, bado yupo kwenye mipango yake. Hapa ndio naona akili za Rodgers eti anamuhitaji Kolo af hamtaki Agger.

I think kwenye suala la Agger, we should stop guessing, BR juzi kaulizwa Agger anapona lini Majeruhi, Akajibu Hajui atapona lini na itachukua a little too long Agger kupona na kuwa fiti..

KAULI kama hiyo inaleta mkanganyiko kidogo, If LFC were desperate to sell him, lazma BR angeongea maneno ya kuwavutia wateja..bcoz bila Agger kuwa majeruhi nadhan Barca and Napoli wuld've make a move already hasa Barca!!!!!

Nilishasema hapa, BR lazima atafikiria mara mbili kumuuza Mchezaji wa pili kipenzi cha kops duniani..

So nadhani ts gonna be Lovren, Skritel, sakho, Agger, Coates..Kolo is just a surplus, illori nahisi ataenda league 1 kwa mkopo.
 
Huyu BR na mauzauza yake. Anajua kabsa timu haina striker wa ueleweka anataka kutuletea maganda ya miwa kama Etoo?
Akamchukue Reus ama Shaqiri ama hata Baloteli

Baada ya kumsajili LAZAR, ishu ya Shaqiri ikafa hapo hapo..REUS WONT HAPPEN.
 
Dirisha kwa Liver ndio limeshafungwa hivyo. Labda tuendelee kujifariji kwa rumous tu. Nakumbuka wakati Carroll anatolewa kwa mkopo tulidanganya hivi hivi kuwa wataleta straika mwingine wa maana, ikawa kimya. Hapa tutegemee hadi Januari.
 
Ila BR naye kasema anamuhitaji, bado yupo kwenye mipango yake. Hapa ndio naona akili za Rodgers eti anamuhitaji Kolo af hamtaki Agger.

sidhani kama BR hamtaki Agger,nadhani Agger ndo hataki benchi,Kolo hata akikaa benchi anaona sawa tu,lakini tuweni wakweli tu,hivi unawezaje kumweka benchi mtu kama Lovren ili kumchezesha Agger huyu wa siku hizi?
 
Issue sio kumuuza, kocha kama hamtaki mchezaji sio lazima amuuze, anaweza kumbakiza na kumuweka benchi tu. Mwisho wa siku ukweli wenyewe anaujua BR, washabiki hatuwezi kuwa na facts zozote tutaishia ku-guess tu kwa kuangalia mazingira. Mazingira ya msimu uliopita inaonekana Agger hawamuhitaji.
 
Markovic kaanza mazoezi ya peke yake!!!

He trained alone today..
 
Attachments

  • 1407952409631.jpg
    72.5 KB · Views: 76

Itabidi ujue kuwa Agger ni injury prone kaka.

He's made of glass..muda wowote anaumia..so hutakiwi kumchezesha mara kwa mara na dk 90..
 
sidhani kama BR hamtaki Agger,nadhani Agger ndo hataki benchi,Kolo hata akikaa benchi anaona sawa tu,lakini tuweni wakweli tu,hivi unawezaje kumweka benchi mtu kama Lovren ili kumchezesha Agger huyu wa siku hizi?

Tusimzungumzie Lovren kwa kumlinganisha na Agger kwa kuwa bado hatujamuona vya kutosha akiwa Liver, alikuwa mzuri kwa timu aliyotoka na huku anaweza akaja kuwa galasa tu. Pia anaweza akaja akawa mzuri kwa Liver ila combination ya beki atakayecheza naye isifanye vizuri.
 
Itabidi ujue kuwa Agger ni injury prone kaka.

He's made of glass..muda wowote anaumia..so hutakiwi kumchezesha mara kwa mara na dk 90..

Labda hii ndio iwe sababu. Upande wangu ningependa Lovren acheze zaidi na Agger kuliko Skrtel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…