zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Hahahahaha. Nimecheka leo balaa, huyu atakuwa mbu wa dengue
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muuza mechi - Kolo Toure bado yupo?At least sasa tuna depth...mwaka jana alipopewa red card Hendo mambo yakaharibika kabisa...saivi pale anaweza cheza Lallana,Can...sterling asipokuwepo,yupo Markovic,Lallana pia pale no.10 yupo Coutinho na Suso,Lovren asipokuwepo yupo Agger,Sakho,kule RB yupo GJ,Manguillo,na Flanagan,huku LB yupo Enrique,Moreno hata Flanagan,Skirtel na Seba pale RCB,Gerald,Lucas na Can pale mido,kwa sasa shida ni Striker tu,yupo striker mmoja tu kwa sasa,Stareji...wale kina Lambert,Fabio...hakuna kitu pale.
Muuza mechi - Kolo Toure bado yupo?
Tukipata striker wa kuvuna mabao basi mwaka huu ni kimbunga tu!
Muuza mechi - Kolo Toure bado yupo?
Tukipata striker wa kuvuna mabao basi mwaka huu ni kimbunga tu!
Kolo kagoma kuondoka, kadai anataka kumalizia mkataba wake na yupo tayari kupigania namba.
Sasa namba anapigania na nani hasa??????
Maana Coates,Lovren,Agger,Skirtel na Sakho wote wamemzidi uwezo.
Labda kama hataki kucheza mpira.
Sasa namba anapigania na nani hasa??????
Maana Coates,Lovren,Agger,Skirtel na Sakho wote wamemzidi uwezo.
Labda kama hataki kucheza mpira.
Hataki kucheza yule anachojali ni mshahara anapata suala la kuporomoka kiwango halimuumiz kichwa.
Huyu BR na mauzauza yake. Anajua kabsa timu haina striker wa ueleweka anataka kutuletea maganda ya miwa kama Etoo?BR is desperate to repeat Mourinho's mistake,by signing Samuel Eto'o...
Ila BR naye kasema anamuhitaji, bado yupo kwenye mipango yake. Hapa ndio naona akili za Rodgers eti anamuhitaji Kolo af hamtaki Agger.
Huyu BR na mauzauza yake. Anajua kabsa timu haina striker wa ueleweka anataka kutuletea maganda ya miwa kama Etoo?
Akamchukue Reus ama Shaqiri ama hata Baloteli
Ila BR naye kasema anamuhitaji, bado yupo kwenye mipango yake. Hapa ndio naona akili za Rodgers eti anamuhitaji Kolo af hamtaki Agger.
I think kwenye suala la Agger, we should stop guessing, BR juzi kaulizwa Agger anapona lini Majeruhi, Akajibu Hajui atapona lini na itachukua a little too long Agger kupona na kuwa fiti..
KAULI kama hiyo inaleta mkanganyiko kidogo, If LFC were desperate to sell him, lazma BR angeongea maneno ya kuwavutia wateja..bcoz bila Agger kuwa majeruhi nadhan Barca and Napoli wuld've make a move already hasa Barca!!!!!
Nilishasema hapa, BR lazima atafikiria mara mbili kumuuza Mchezaji wa pili kipenzi cha kops duniani..
So nadhani ts gonna be Lovren, Skritel, sakho, Agger, Coates..Kolo is just a surplus, illori nahisi ataenda league 1 kwa mkopo.
Issue sio kumuuza, kocha kama hamtaki mchezaji sio lazima amuuze, anaweza kumbakiza na kumuweka benchi tu. Mwisho wa siku ukweli wenyewe anaujua BR, washabiki hatuwezi kuwa na facts zozote tutaishia ku-guess tu kwa kuangalia mazingira. Mazingira ya msimu uliopita inaonekana Agger hawamuhitaji.
sidhani kama BR hamtaki Agger,nadhani Agger ndo hataki benchi,Kolo hata akikaa benchi anaona sawa tu,lakini tuweni wakweli tu,hivi unawezaje kumweka benchi mtu kama Lovren ili kumchezesha Agger huyu wa siku hizi?
Itabidi ujue kuwa Agger ni injury prone kaka.
He's made of glass..muda wowote anaumia..so hutakiwi kumchezesha mara kwa mara na dk 90..