Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa Loserfools wanadai madaraka bandia, Wacha wakome Mbu usiwape madaraka hadi wachukue kikombe cha EPL khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: Mbu

We sio mzima.....unaitaji maombi.
 
We sio mzima.....unaitaji maombi.

Wacha fujo wewe chacha Mbu anakunyima nini hapo? Mmebaki na historia kuna vijana tangu wazaliwe hawajaona loserfools wakibeba EPL .... ..... .... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Arsenali haijawahi kuchukua hata kikombe kimoja cha ulaya tangu timu ianzishwe!
 
Wacha fujo wewe chacha Mbu anakunyima nini hapo? Mmebaki na historia kuna vijana tangu wazaliwe hawajaona loserfools wakibeba EPL .... ..... .... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kuna aliozaliwa Arsenal kaona timu ya Arsenal imebeba Champions LG! Kuwa mstaarabu hakuna hapa alieivunjia heshima timu yako unaivunjia heshima wewe mwenyewe!
 
Kuna aliozaliwa Arsenal kaona timu ya Arsenal imebeba Champions LG! Kuwa mstaarabu hakuna hapa alieivunjia heshima timu yako unaivunjia heshima wewe mwenyewe!

Champiopn League imeanza lini? Wacha kuweweseka wewe hiyo CL imeanza chichi tunaangalia tu sio kikombe muhimu sana kama EPL Wacha ngebe. Hiyo CL ni kama tombola tu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata timu mbovu kama Chelsicki walibeba kwa kununua khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: Mbu
Karibu.
 
Attachments

  • 1407957011978.jpg
    43.6 KB · Views: 75
Wewe tushakuzoea utabishana hata na jiwe mpaka kesho wewe mzee wa mipasho endelea kujidanganya ila Arsenal Naipa heshima ila mwenyewe unaivunjia heshima timu yako endelea kujidanganya CL sio kitu muhimu kisa huna siku utapopata tutaona Kelele zako kwahiyo sina muda wa kubishana.
 
Tukimpata central striker mmoja wa nguvu basi ni kimbunga. Tutaanza kutoa dozi tena. Msimu ulioisha dozi tulizozitoa zilinifariji sana hasa ile dozi tuliompa Arsenal, ManCity na Totenham. Endapo Wenger ataendelea kumtegemea Metusaker siku tutakapokutana nao msimu huu, basi angalau bao 4 zitapitia kwa walewale wazee pale nyuma Arteta na Metusaker
I can't wait for the new season to begin. They count us out eti kisa Suarez kaondoka. Subirini
 
.....nyie pigeni kelele weeeeee, ligi ikianza mtasepa wote humu! TIMING mnamkumbuka? Quemu je? hawa ndio waanzilishi wa
jukwaa hili....

mambo yalipokuwa sio mambo na wao wakalikimbia jukwaa!
By the way, nani ataongoza mashambulizi Dracula mshamuuza Barcelona?
 
Last edited by a moderator:

Kolo Toure
 
Last edited by a moderator:
Liverpool wanalialia kweli hapa ndio maana Mbu anawapa dozi za kutosha...huwa hamuonekani hapa timu yenu ikicheza tushawazoea
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Sasa kama hii forum ni ya liverpool Fan nyie wengine wafanya nini humu.. tuacheni na team yetu...

Time will tell who a true fan and what is the best team..

Tunaangalia mbele sisi
 
Reactions: Mbu
Waza wakina mbu watu wanawaza maendeleo tunajikwamuaje hapa tulipo
 
Attachments

  • 1408004960457.jpg
    54.6 KB · Views: 92
Reactions: Mbu
True mkuu hata Mie sioni sababu ya kumpigia Kelele Mbu watu wameongea naye kistaarabu ila yeye kaamuwa aendelee Kuwa Sap Blatter au Captain wa LFC kwa mapenzi yake! Tuacheni kulalamika muhimu mnaweza hapa kuandika mengine basi Inatosha hata isingekuwepo hii alioanzisha au thred yoyote kuhusu LFC si mwisho wa Dunia, kuna sehemu kibao za kuandika zaidi ya hapo bado namuwekea heshima Kama Mbu! Endelea na kazi nzuri mkuu mapenzi yako ni ya kweli.
 
Reactions: Mbu
Waza wakina mbu watu wanawaza maendeleo tunajikwamuaje hapa tulipo

Ni mchezaji mzuri msimu uliopita aliifungia florence magoli 16 ktk mechi 21 alizocheza.hofu yangu ni kua jamaa hua anasumbuliwa na majeruhi ya goti mara kwa mara.bado hawezi kuziba pengo la suarez.
 
Ni mchezaji mzuri msimu uliopita aliifungia florence magoli 16 ktk mechi 21 alizocheza.hofu yangu ni kua jamaa hua anasumbuliwa na majeruhi ya goti mara kwa mara.bado hawezi kuziba pengo la suarez.
20m kwa Rossi ni kupoteza pesa tu bora Bony Kama hakuna wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…