Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FT
LIV 2 - 1 SOU
Southampton wamecheza vizuri sana ila bahati haikuwa yao..
Japo Hakuna timu mtoto kwenye BPL ila hii scoreline bado haioneshi makucha mliyonayo japo mmepata hizo 3pts

Mkuu hata nyie manure jana mlicheza vizuri ila haikuwa bahati yenu hahahahaha!
 
Soton walikuja anfield lea kuwaonesha liverpool kua we are still stable despite the fact that u have taken our key players na ndio maana mechi ilikua ngumu kwetu.

Msimu ulio pita walitufunga hawa 1-0 mechi ya pili ya EPL
 
Defence ZERO ya Liver au Man utd?

Defence ya Liverpool bado ni mbovu last season pamoja na United kuchemsha lakini Liverpool alifungwa magoli mengi kuliko United.Tatizo kubwa la Man United ni kwenye kiungo
 
TOP OBSERVATIONS FROM LIV vs SOTON:
1.) Huyu mtoto Manquillo ameonyesha uwezo. Kwa ujumla ameimudu nafasi japo mapungufu machache yalikuwepo
2.) Lovren ameanza kuonyesha umuhimu wake, kwa kiasi fulani Central defence pametite
3.) Sterling anazidi kuimprove na finishing, hardworking na passing yake itatusaidia sana. Anatakiwa tu kusustain
4.) Nimeona shida kubwa sana kwenye defensive midfield. Hakuna mtu wa kuinterrupt moves zinazoanzia meter chache mbele ya defence line. Lucas alizidiwa sana wakati SG alirudi nyuma kama anatoa back up kwa back line zaidi.
5.) Kwa haraka haraka, Lambert atastruggle sana kwa position anayochezeshwa. Anacheza pembeni akiingia ndani, yule ni mzuri zaidi akiwa more central.
Otherwise, ni point tatu kibindoni, mengine tutarekebisha mbele ya safari.
 
Ni hv jaman wna liverpool wangu km kwel tna mpango n alex song bora tmchkue fasta n falcao piaa hyo dili iwe fasta nahic tutakuwa moto sanaa
 

.....uchambuzi makini ila pia mkumbuke #TheKops hamna record nzuri mnaoopambana na #TheSaints ...

Hongereni, hamadi kibindoni.


#MosKwito !
 
Msimu ulio pita walitufunga kwetu hawa jamaa!Pamoja na kupoteza almost kikosi chao chote cha kwanza bado jamaa wazuri sana hawa

C zani kama niwazur kuzidi wavokua nnachokiona hatukucheza vzur
 
Dah, aisee BR alitaka kutupozesha mechi leo..nilivyomuona tu Lucas nikajua hii mechi itakuwa ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…