Tumekuelewa mchambuzi mahiri wa soka.
Hahahahahahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekuelewa mchambuzi mahiri wa soka.
Msimu ulio pita walitufunga kwetu hawa jamaa!Pamoja na kupoteza almost kikosi chao chote cha kwanza bado jamaa wazuri sana hawa
FT
LIV 2 - 1 SOU
Southampton wamecheza vizuri sana ila bahati haikuwa yao..
Japo Hakuna timu mtoto kwenye BPL ila hii scoreline bado haioneshi makucha mliyonayo japo mmepata hizo 3pts
Mkuu hata nyie manure jana mlicheza vizuri ila haikuwa bahati yenu hahahahaha!
Defense 'ZERO'
Soton walikuja anfield lea kuwaonesha liverpool kua we are still stable despite the fact that u have taken our key players na ndio maana mechi ilikua ngumu kwetu.
Tores Ukiangalia post nliyo quote utaelewa naiongelea timu gani
Defence ZERO ya Liver au Man utd?
Msimu ulio pita walitufunga hawa 1-0 mechi ya pili ya EPL
Msimu ulio pita walitufunga hawa 1-0 mechi ya pili ya EPL
Sub ya akili sana hii. Imezaa goli
kusema kweli Leo tumecheza ovyo no excuse za ndio kwanza game ya kwanza lazima tukosoe Leo Middle hazijachezesha Striker wala kuwapa pumzi mabeki Leo Skrtel,Lovren na Manquillo wamecheza vizuri kwa Presha zote zile ila Johnson hakuna kitu Leo Coutinho na Raheem na. Sturidge nao walikuwa kimya ila Middle zilikuwa Zero Kasoro Handerson tu Leo Rogers atizame makosa aweke sawa zaidi ya hapo 3 point kwenye begi 2-1 We Go Again LFC YNWA!
Msimu ulio pita walitufunga kwetu hawa jamaa!Pamoja na kupoteza almost kikosi chao chote cha kwanza bado jamaa wazuri sana hawa