Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Inaonekana hawa Man city hawana mashabiki sana worldwide,mashabiki wao wapo palepale Manchester.
 
Mijitu isiokuwainajuwa ukweli ndio watasema mabeki bado wabovu hehehehe sababu tumefungwa goli au kushambuliwa anayejuwa mpira naaliyetizama mpira atakwambia Middle ndio zilikuwa zimepwaya beki zingekuwa mbovu pale ungeona hata 3 kupata Southampton ila zaidi ya hapo tafuteni mengine ya kujadili sie ndio tushabeba point 3 watu tumewazoea na Leo LFC ingetoka 0-0 msingeongelea Beki mngeongelea Strikers na Suarez lazima mpate cha kuongea kajadili timu yenu iliofungwa LFC 2-1 We Go Again LFC YNWA! Angalau sie yetu tunayajadili hatujisifii wengine hamukuonekana milk subiri Leo kuja eh? Hapa Leo mmechelewa subirini siku nyengine We Go Again LFC YNWA! Mbona sie tumeshinda ila tu nasema Striker bado muhimu na Middle mmoja LFC We Go Again LFC YNWA!
 
Mie ningependa kungekuwa kuna na Thred ya EPL tujadili na timu zengine nje ya unazi Kama mnaonaje wote nje ya top 5 au top 6 teams zinazosemwa kugombania top 4 timu za chini ni timu gani ya chini watakuwa na Striker ambaye atasumbuwa Ligi Kama ilivyokuwa Michu na Benteke Mie maoni yangu Yule wa Leicester waliomnunuwa 8million jamaa atakuja kutesa sana jina limenitoka wengine mnaona ni Striker gani au Mchezaji gani atatamba timu ya chini?
 

Last season yote Lambert alikuwa akicheza wide, Central STs wa Southampton walikuwa ni Osvaldo na Jay Rodriguez..alivyoondoka osvaldo akabaki Jay Rodriguez as the main Central ST..

So hapo kwa Lambert haujamake sense bado mkuu!
 
3 Pts..
 

Attachments

  • 1408289565542.jpg
    85.4 KB · Views: 70
  • 1408289585181.jpg
    44.7 KB · Views: 64
  • 1408289611452.jpg
    74.9 KB · Views: 65
  • 1408289627933.jpg
    48.9 KB · Views: 71
  • 1408289642551.jpg
    59.9 KB · Views: 65
  • 1408289665492.jpg
    48 KB · Views: 59
  • 1408289686366.jpg
    54.7 KB · Views: 65
Reds..
 

Attachments

  • 1408289742345.jpg
    156.9 KB · Views: 55
  • 1408289761887.jpg
    46.7 KB · Views: 52
  • 1408289777231.jpg
    39.8 KB · Views: 52
  • 1408289794720.jpg
    43.7 KB · Views: 55
  • 1408289810019.jpg
    52.2 KB · Views: 55
  • 1408289831059.jpg
    65.3 KB · Views: 56
  • 1408289866140.jpg
    55 KB · Views: 53
BR and KOEMAN
 

Attachments

  • 1408289950752.jpg
    42.8 KB · Views: 84
Lallana taking a Selfie witha a Fan
 

Attachments

  • 1408289979408.jpg
    36.2 KB · Views: 84
Ushindi wa leo, umekuwa dedicated kwa the great legend BOB PAISLEY, ambaye miaka 40 iliyopita siku kama ya leo, ndiyo aliiongoza LFC kwenye match yake ya kwanza kabisa as a Manager..
 

Attachments

  • 1408290214240.jpg
    85.1 KB · Views: 92
Ni kweli nimekupata sasa Mn utd hakuna mabeki watamkumbuka sana vidic.

Wasiposajili vichwa, mfumo unaotumiwa kwa sasa uchochoro unaweza geuka barabara na mambo yakawa mabaya zaidi ya yalivyo sasa
 
Defence ya Liverpool bado ni mbovu last season pamoja na United kuchemsha lakini Liverpool alifungwa magoli mengi kuliko United.Tatizo kubwa la Man United ni kwenye kiungo
Belo unaweza ukasemaje kuwa defense ya LFC ni mbovu kutokana na match ya leo!!!!

We played 4-2-3-1 leo, SG and Leiva walikuwa katikati wawili, Hendo alikuwa wide, Coutinho wide and RS as a free role nyuma Ya Danny..tulikuwa short kwenye mid, asa kutokana na Lucas ambaye alikuwa anaziSlow down moves zote za LFC katika counters, And for the record, Partnership ya SG na Lucas as 2 combined mids haijawah kuwork out kabisa katka mfumo wa 4-2-3-1, na ndo maana Wanyama and Schenederin bossed our Midfield today, hatukuwa na commanding yoyote katka midfield, lakin kwa usold wa Lovren na Skritel, we just conceded goal moja tu, ambalo lilitokana na misunderstand kidogo kati ya Hendo na Manquillo kwenye franks upande wa kulia..today we were strong katika set pieces, kitu ambacho huwa ni kigumu sana kwetu..Lovren ni mzuri sana Hewani, na ndo maana BR alimwitaji sana..ukiniambi kwamba we lacked that quality katika midfield ningekuelewa, lakini siyo katika defense aisee.
 
Last edited by a moderator:
Kwangu mimi,man of the match ni Martine.

Dah..ujue GJ anatia HURUMA sana, jamaa amedrop kiwango faster sana..

Nahisi BR itabid ampumzishe kidogo jamaa, kucheza, GJ yupo vibaya sana kisaikolojia, anahitaji sana kupumzika, ili airudishe confdence yake..hiki kitu kinachomkuta GJ sahiv ndo kilimkuta Torres kipind kile, so LFC itabid watake measures mapema kabla mpira wa GJ haujaisha kabisa..

Kutoka kuwa the highly rated RB in the world mpaka kufikia kulipwa £120k, ili kumshawishi abaki, kipindi kile Madrid wanamtaka, mpaka kwenye hali aliyoifikia jamaa kwa sasa, INATIA HURUMA SANA..

GJ need to rest kidogo, atazidi kuharibika kisaikolojia.
 
Pamoja na mapresha yote, point 3 muhimu...
Ugumu wa mechi ya leo unaweza kuwa na faida kwetu, utamfanya BR asugue kichwa zaidi juu ya kikosi anachoweka uwanjani...YNWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…