The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Inaonekana hawa Man city hawana mashabiki sana worldwide,mashabiki wao wapo palepale Manchester.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subili uone mach hujui wamejipangaje mkuu
TOP OBSERVATIONS FROM LIV vs SOTON:
1.) Huyu mtoto Manquillo ameonyesha uwezo. Kwa ujumla ameimudu nafasi japo mapungufu machache yalikuwepo
2.) Lovren ameanza kuonyesha umuhimu wake, kwa kiasi fulani Central defence pametite
3.) Sterling anazidi kuimprove na finishing, hardworking na passing yake itatusaidia sana. Anatakiwa tu kusustain
4.) Nimeona shida kubwa sana kwenye defensive midfield. Hakuna mtu wa kuinterrupt moves zinazoanzia meter chache mbele ya defence line. Lucas alizidiwa sana wakati SG alirudi nyuma kama anatoa back up kwa back line zaidi.
5.) Kwa haraka haraka, Lambert atastruggle sana kwa position anayochezeshwa. Anacheza pembeni akiingia ndani, yule ni mzuri zaidi akiwa more central.
Otherwise, ni point tatu kibindoni, mengine tutarekebisha mbele ya safari.
Ni kweli nimekupata sasa Mn utd hakuna mabeki watamkumbuka sana vidic.
Man of the match
Belo unaweza ukasemaje kuwa defense ya LFC ni mbovu kutokana na match ya leo!!!!Defence ya Liverpool bado ni mbovu last season pamoja na United kuchemsha lakini Liverpool alifungwa magoli mengi kuliko United.Tatizo kubwa la Man United ni kwenye kiungo
Kwangu mimi,man of the match ni Martine.
Mkuu hilo jina la kikwetu
Kwangu mimi,man of the match ni Martine.