We have signed mario balotelli guys
get in!!!
Tusimhisi vile lakini mie nadhani alifurah akiamini katika slogan ya Joseph Ndo legend of Cameroon kwamba when u assist your team mates to shine, u will shine so may b anadhani jamaa atamsaidia ku-shine zaidi na zaidi.
Tushafika bei, tuombe yasitokee ya Remy wakuu
Baada ya habari kutua kwenye conference room ya wachezaji wa liverpool STURRIDGE aliipiga chini kalamu aliyokuwa nayo mkononi alisema mnadanganya
Kwahiyo mchizi J3 atakipiga dhid ya manshit sio?
We have signed mario balotelli guys
get in!!!
Baada ya habari kutua kwenye conference room ya wachezaji wa liverpool STURRIDGE aliipiga chini kalamu aliyokuwa nayo mkononi alisema mnadanganya
Huyo ilikuwa wakati wapo tour USA, kulikuwa na rap battle ya kumtafuta king of hip-hop pale LFC..so caren (LCTV host) alikuwa anawashindanisha Danny na Ibe..walikuwa wanaulizwa maswali mbali mbali kuhusu Mastar wa RAP marekani..na mwisho wa battle kila mtu aliimba wimbo wa msanii anayempenda....hiyo battle alishinda Danny.
Kuna mtu alishawahi kuiweka hapa..sijui ni nani..itafute ipo Youtube..
Am deeply disappointed. Honestly.
Balotelli simply doesn't do it for me. With him, you are guaranteeing yourself to make a step forward but - whap! - a couple back!
Ballo? A big nope from me!
YNWA....
Duh! Ballo ni mmoja kama wale wanafunzi wenye akili sana lakini hawataki kuingia darasani, wanapojibu paper wanaonekana kujibu kutoa kichwani zaidi kuliko kwamba walisikia darasani, na akichoka anaweza kuacha paper hajamaliza na muda haujaisha na angeamua angejibu na kuyapata maswali.
Ni mvivu sana jamaa, anawahi kuchoka. Kama akiamua kufanya mazoezi na kutokuwa mvivu, Ballo ni habari nyingine (atleast 64.3% Suarez version).