Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahahah!!!!!

GET INNNNNNNNNN!!!!
 

Attachments

  • 1408623214742.jpg
    1408623214742.jpg
    42.8 KB · Views: 88
Cant believe we've signed this MAD BASTARD..

And just for the record...*he hates ManureUTD*
 

Attachments

  • 1408623347996.jpg
    1408623347996.jpg
    44.4 KB · Views: 80
Tusimhisi vile lakini mie nadhani alifurah akiamini katika slogan ya Joseph Ndo legend of Cameroon kwamba when u assist your team mates to shine, u will shine so may b anadhani jamaa atamsaidia ku-shine zaidi na zaidi.

Sturridge ni mchoyo sana, last time interview aliongea kama vile anafurahi kubaki na timu na yeye kama kiongozi mkuu wa mashambulizi. Sidhani kama atafurahi kuletewa jembe lingine.
 
Baada ya habari kutua kwenye conference room ya wachezaji wa liverpool STURRIDGE aliipiga chini kalamu aliyokuwa nayo mkononi alisema mnadanganya

Huyo ilikuwa wakati wapo tour USA, kulikuwa na rap battle ya kumtafuta king of hip-hop pale LFC..so caren (LCTV host) alikuwa anawashindanisha Danny na Ibe..walikuwa wanaulizwa maswali mbali mbali kuhusu Mastar wa RAP marekani..na mwisho wa battle kila mtu aliimba wimbo wa msanii anayempenda....hiyo battle alishinda Danny.


Kuna mtu alishawahi kuiweka hapa..sijui ni nani..itafute ipo Youtube..
 
Selling Suarez to keep the image of the club, then buying Balotelli for the same reason?

Suarez alikuwa risky kama Balotelli. For Balotelli, it may work, it might not.

Lakini kwa £16m siyo mbaya kama LFC watamwuza Borini kwa bei hiyo hiyo.

Unlike Borini, Balotelli is box office. I would like to see him back in the Premiership.
 
Kwahiyo mchizi J3 atakipiga dhid ya manshit sio?

Ili acheze mechi ya jumatatu dhidi ya Man City, inabidi afanyiwe vipimo vyake vya afya leo leo huko huko nchini kwao Italia na kisha Liverpool wasajili makabrasha ya usajili wake kesho ijumaa na mwisho ni saa sita mchana kwa huko Uingereza ambapo kwetu itakuwa ni saa nane mchana.Hapo ndio ataweza kucheza hiyo game ya j3.
 
We have signed mario balotelli guys

get in!!!

Am deeply disappointed. Honestly.

Balotelli simply doesn't do it for me. With him, you are guaranteeing yourself to make a step forward but - whap! - a couple back!

Ballo? A big nope from me!


YNWA....
 
Baada ya habari kutua kwenye conference room ya wachezaji wa liverpool STURRIDGE aliipiga chini kalamu aliyokuwa nayo mkononi alisema mnadanganya

Huyo ilikuwa wakati wapo tour USA, kulikuwa na rap battle ya kumtafuta king of hip-hop pale LFC..so caren (LCTV host) alikuwa anawashindanisha Danny na Ibe..walikuwa wanaulizwa maswali mbali mbali kuhusu Mastar wa RAP marekani..na mwisho wa battle kila mtu aliimba wimbo wa msanii anayempenda....hiyo battle alishinda Danny.


Kuna mtu alishawahi kuiweka hapa..sijui ni nani..itafute ipo Youtube..

Hahahaha na kule mitaa ya Everton sijui Lakaku atakuwa yuko katika hali gani. Liverpool is becoming Compton.

Bring back the Anfield Rap (Red Machine in Full Effect) the the song that was released LFC members before the 1988 FA Cup Final against Wimbledon.

The song reached number 3 in the UK Single Chart The song was co-written by Liverpool's midfielder Craig Johnston, rapper Derek B and Mary Byker.

 
Last edited by a moderator:
Balotelli namwona ni mchezaji mzuri sana (lakini akiwa timu PINZANI sio akiwa timu ninayoishabikia).

Tusubiri tuone.
 
Am deeply disappointed. Honestly.

Balotelli simply doesn't do it for me. With him, you are guaranteeing yourself to make a step forward but - whap! - a couple back!

Ballo? A big nope from me!


YNWA....


Sisi Liverpool FC we are more than happy, to sign Super Ballo.....because he is talented young guy who hate Man utd.

And the below are facts about Super Mario.....


  • Mario Balotelli had more shots in the league from outside the area last season (95) than Daniel Sturridge and Wayne Rooney combined (83).

  • The only Premier League players to score more goals than Balotelli during that time are Sturridge (30) & Suarez (37).

  • Since making his league debut for Milan in 2013, no player has scored more Serie A goals than Mario Balotelli (26).

  • % Goals scored vs top-7:
Balotelli - 28.57
Suarez - 19.35
Reus - 31.25
Sanchez - 21.05
Sturridge - 26.09
Remy - 21.43

Sasa hivi nasubiria usajili wa Song kutoka Barca....

YNWA!
 
Mimi nawashangaa wale msiomtaka mario pale LFC,wkt ndo best option available,hebu semeni,ukiachana na Balo,(cavani na falkao hatuwawezi,kwanza hawana experience na EPL),nani mwingine?
 
hahahahaha! Hii ishu ya Balo imewashtua wengi,kuna LFC fans wengi humu JF kumbe,leo nimewaona watu wapya humu wa kutosha!
 
Naomba nisahihishwe kama siko sahihi.....mahesabu yangu ya harakahara ni kama ifuatavyo:-


  • Man United: Shaw, Herrera, Rojo – £76m



  • Liverpool: Moreno, Lambert, Lovren, Manquillo, Can, Balotelli, Marković – £80m

Actually we spent wisely.....YNWA
 
Duh! Ballo ni mmoja kama wale wanafunzi wenye akili sana lakini hawataki kuingia darasani, wanapojibu paper wanaonekana kujibu kutoa kichwani zaidi kuliko kwamba walisikia darasani, na akichoka anaweza kuacha paper hajamaliza na muda haujaisha na angeamua angejibu na kuyapata maswali.

Ni mvivu sana jamaa, anawahi kuchoka. Kama akiamua kufanya mazoezi na kutokuwa mvivu, Ballo ni habari nyingine (atleast 64.3% Suarez version).

kk,umenikumbusha mbali sana kwa mfano wco yan kpnd npo shule hzo elements ndizo nikuwa nazo hadi w2 walikuwa wananishangaa
 
Back
Top Bottom