Hizo ndio unaona rekodi za maana,naona we ni mfuasi wa Mr Bean
Hivi Man City wliwafunga kwa fitina au nguvu
Huwezi kabisa kuilinganisha Liverpool na Arsenal kabisa Arsenal bado sana
Nakubaliana na wewe ni ukweli usiopingika kwamba Liverpool wana historia ya kushinda trophies nyingi zaidi ya Arsenal lakini yote inabaki ni historia, hata nyinyi Manutd mumeshinda Premiership mwaka jana, haijalishi, watu tunataka kuona mwaka huu itakuwaje?Hizo ndio unaona rekodi za maana,naona we ni mfuasi wa Mr Bean
Hivi Man City wliwafunga kwa fitina au nguvu
Huwezi kabisa kuilinganisha Liverpool na Arsenal kabisa Arsenal bado sana
Nakubaliana na wewe ni ukweli usiopingika kwamba Liverpool wana historia ya kushinda trophies nyingi zaidi ya Arsenal lakini yote inabaki ni historia, hata nyinyi Manutd mumeshinda Premiership mwaka jana, haijalishi, watu tunataka kuona mwaka huu itakuwaje?
Tukiweka unazi mbali kwa kulinganisha mimi nakwambia kikosi bora mwaka huu ni Chelsea ikifuatiwa na 2.Arsenal, 3.Liverpool 4. Man City na mwisho ndio ManUtd. Ukichukulia akina Essien kwenda ACN msimu huu nasema Arsenal tutaibuka mabingwa! hakuna shaka.
You have to believe! na naamini wachezaji tulionao na staili tunayocheza mwaka huu tuta-prevail!Mshkaji unapenda kwa nguvu mazee!!!😛😛
You have to believe! na naamini wachezaji tulionao na staili tunayocheza mwaka huu tuta-prevail!
Kabisa! na tuwe na subira mtu wanguSawa baba, mpaka January 15 tutapata picha ya msimamo wa msimu huu
Karibu mwezi wote wa Januari mwezi ambao ni muhimu sana na kama unafatilia hii ligi vizuri miaka yote Desemba na Januari ndio huwa ligi inatoa sura, ukipewa indiketa January mara nyingi ndio imetoka, kukosekana kwa Drogba na Essien litakuwa pengo kubwa pia hao wa ku-cover Kalou na Obi Mikel nao watakosekana.Gang Chomba;635063]Ukisikia kukurupuka ndo huku sasa...
je hao kina essien huko CAN watakwenda kukaa mwaka mzima?[/
Nakubaliana na wewe ni ukweli usiopingika kwamba Liverpool wana historia ya kushinda trophies nyingi zaidi ya Arsenal lakini yote inabaki ni historia, hata nyinyi Manutd mumeshinda Premiership mwaka jana, haijalishi, watu tunataka kuona mwaka huu itakuwaje?
Tukiweka unazi mbali kwa kulinganisha mimi nakwambia kikosi bora mwaka huu ni Chelsea ikifuatiwa na 2.Arsenal, 3.Liverpool 4. Man City na mwisho ndio ManUtd. Ukichukulia akina Essien kwenda ACN msimu huu nasema Arsenal tutaibuka mabingwa! hakuna shaka.
Karibu mwezi wote wa Januari mwezi ambao ni muhimu sana na kama unafatilia hii ligi vizuri miaka yote Desemba na Januari ndio huwa ligi inatoa sura, ukipewa indiketa January mara nyingi ndio imetoka, kukosekana kwa Drogba na Essien litakuwa pengo kubwa pia hao wa ku-cover Kalou na Obi Mikel nao watakosekana.
Hivi vigezo unatoa wapi wakati msimu hata nusu haujafikiaNakubaliana na wewe ni ukweli usiopingika kwamba Liverpool wana historia ya kushinda trophies nyingi zaidi ya Arsenal lakini yote inabaki ni historia, hata nyinyi Manutd mumeshinda Premiership mwaka jana, haijalishi, watu tunataka kuona mwaka huu itakuwaje?
Tukiweka unazi mbali kwa kulinganisha mimi nakwambia kikosi bora mwaka huu ni Chelsea ikifuatiwa na 2.Arsenal, 3.Liverpool 4. Man City na mwisho ndio ManUtd. Ukichukulia akina Essien kwenda ACN msimu huu nasema Arsenal tutaibuka mabingwa! hakuna shaka.
Hivi vigezo unatoa wapi wakati msimu hata nusu haujafikia
Msimamo wa ligi unaonesha kama ifuatavyo
1.Chelsea 2.ManU 3.Arsenal 4.Spurs 5.Liverpool
Kwenye champs league Chelsea na Man wana point 9
Hivi vigezo unatoa wapi wakati msimu hata nusu haujafikia
Msimamo wa ligi unaonesha kama ifuatavyo
1.Chelsea 2.ManU 3.Arsenal 4.Spurs 5.Liverpool
Kwenye champs league Chelsea na Man wana point 9
Umeanza kufuatilia mpira lini wewe?
Tulia chini kisha ukiangalie kikosi cha chelskvic then punguza hao watu watakaorudi mwituni kwa kipindi cha mwezi mmoja kisha utapata jibu kuwa kuwa watumishi watakaoweza kulisukuma jahazi mpk nchi ya ahadi still watakuwepo.
Kisha ukae ukijua kuwa January haina mechi 10 za ligi.
umenipata?
Kama ni suala la pefomance basi kila msimu Arsenal ni mabingwa but kama ni kushinda nyie mtaendelea kuwa wasindikizaji ,tatizo la Man U msimu huu liko kwenye defence,kwa Liverpool hata mwaka jana tulikuwa vibondeVigezo vyangu nimechukua kwa perfomance baada ya mechi 10. Msimamo hautupi ukweli wa picha kamili, kwamba ManU ingawa wanashika nafasi ya 2 lakini wana kikosi dhaifu msimu huu, inaelekea kuondoka kwa Ronaldo na Tevez ukichanganya na kushuka kiwango kwa Ferdinand na Vidic timu yenu imepungua kwa asilimia 60 (in perfomance) tofauti na msimu uliopita. Liverpool nayo for some strange reasons wameshuka kiwango, kwa upande mwengine Arsenal na Chelsea wameonyesha kiwango. ManU mlikuwa lucky dhidi ya Arsenal na Man city ( Refs), lucky again dhidi ya Sunderland, poor against Liverpool na Burnley, poor again against Birmingham ingawa muliwafunga.
Kama ni suala la pefomance basi kila msimu Arsenal ni mabingwa but kama ni kushinda nyie mtaendelea kuwa wasindikizaji ,tatizo la Man U msimu huu liko kwenye defence,kwa Liverpool hata mwaka jana tulikuwa vibonde