The Magnificent umefikia hatua ya kuwaamini kina Wayne Veysey wa Goal.com??????Nimeiona Goal.com hiyo
Br kakosea huwez kuwa unaitaj ucl na ukasajil mchezaj kama mb hajitambui na hana kas
Bandugu naomba kufahamishwa ni ipi BR hakumsajili Shaqiri? Maana zilivuma sana tetesi juu yake,na vipi mipango ya kuwapa namba Teixeira na Ibe? Nadhani timu yetu ina vijana wengi wa maana na naamini wote hao watakuja kuwa tishio saanaaa na pia ni mtaji mzuri kwa timu hapo baadae.
Hivi na tetesi za Real Madrid kumtaka Sterling ni kweli ama ni fununu tu?
"Nlikuwepo":bolt:
Texeira tayari yuko kwa Sammy Hyypia na juzi katupia moja na kutoa assist moja. Jordon Ibe atatoka kwa mkopo, hopefully ataenda Derby County kwa McLaren anajua kulea young talents. Acha na Shakiri mfupi mno na habari za Sterling kutakiwa na Madrid ni fununu Tu, hao Madrid unafikiri watanaliza wachezaji wote duniani? Mwisho wanatakiwa kubakia na 25 Tu, Sterling atatia saini mkataba mpya soon atakuwa anavuta 100,000- kwa wiki safi, akaendelee kutia mimba mabinti wa kizungu, sisi akitupia goli 20 msimu huu ni more than enough
Nadhani itakuwa ni sahihi sana madogo wakapata muda wa kucheza zaidi huko waendako.
Kikubwa ni kukaza zaidi msimu huu ili kuwaonyesha wale wasema hovyo kuwa kwetu msimu uliopita haikuwa nguvu ya soda.
"Nlikuwepo":bolt:
Tunaanza rasmi kukaza Jumatatu kwa kumpiga miti Man City palepale Etihad ndio watatuheshimu hawa wahuni. Eti wametabiri hatuingii top four jamaa wa William Hill, wengine wametabiri wale vilema wa Old Traford kutwaa ubingwa. Hii ni dharau dhidi yetu.
Br kakosea huwez kuwa unaitaj ucl na ukasajil mchezaj kama mb hajitambui na hana kas
Mambo yanaenda kasi sana,ila striker wetu yule sturridge nadhani apunguze ubinafsi na kujiangusha hovyo ndani ya boksi ikiwa ni mbinu za kuombea penalt.
Ujio wa MB ni mzuri sana hasa ikizingatiwa kwa kipindi kirefu timu yetu haikusajili mchezaji mwenye jina kubwa. Kuhusu Etoo,yani naomba asisajiliwe kipupwe na kiangazi,masika na vuli...Maana tunakuwa kama tumeishiwa wachezaji wa kusajili bwana.
"Nlikuwepo":bolt:
Wakuu,tunatakiwa kujenga mazoea ya kuwa humu whether we are winning or losing! Huo ndo ushabiki wa kweli,i have a huge respect kwa ndugu yangu Okhondima,he was always here,hata siku tulipokuwa tunajua kbs tunafungwa! Tena ni wakati ule tumecapitalize kwenye nafasi ya Manure ya sasa,this man is a real kop fan! Japokuwa ameadimika siku hizi humu,labda maisha pia yamebadilika,but for sure,personally nina appreciate in him! tubadilike!! 'If you don't cheer us when we are losing,don't cheer us when we're winning'-Bill Shankly.
Nina uhakika mario hata muangusha branden,timu nyingi zilikua zisha mchoka lazima ths time awaprove wrong wabaya wake wote,tunasubilia jersey tu tununue..
Tunaanza rasmi kukaza Jumatatu kwa kumpiga miti Man City palepale Etihad ndio watatuheshimu hawa wahuni. Eti wametabiri hatuingii top four jamaa wa William Hill, wengine wametabiri wale vilema wa Old Traford kutwaa ubingwa. Hii ni dharau dhidi yetu.
Wakuu,tunatakiwa kujenga mazoea ya kuwa humu whether we are winning or losing! Huo ndo ushabiki wa kweli,i have a huge respect kwa ndugu yangu Okhondima,he was always here,hata siku tulipokuwa tunajua kbs tunafungwa! Tena ni wakati ule tumecapitalize kwenye nafasi ya Manure ya sasa,this man is a real kop fan! Japokuwa ameadimika siku hizi humu,labda maisha pia yamebadilika,but for sure,personally nina appreciate in him! tubadilike!! 'If you don't cheer us when we are losing,don't cheer us when we're winning'-Bill Shankly.
Mna kz ya kuota mchana peupe! Kz hiyo tunaiweza sisi Chelsea na so timu ingine! Nyie nendeni ktk hayo machinjio ya Etihad mkachinjwe!
acha na mzee wa kupaki basi huyoUlitufunga home and away ukawa wa 3
Ukamfunga Man City home and away ukawa wa 3
Ukapata points 4 kwa Man U ukawa wa 3
Ukapata points 4 kwa Arsenal lkn ukawa wa 3
Stat hazijawahi kuongopa!Hata mwaka huu utakuwa wa 3
Majogoo yatawika tena****