Wakuu,tunatakiwa kujenga mazoea ya kuwa humu whether we are winning or losing! Huo ndo ushabiki wa kweli,i have a huge respect kwa ndugu yangu Okhondima,he was always here,hata siku tulipokuwa tunajua kbs tunafungwa! Tena ni wakati ule tumecapitalize kwenye nafasi ya Manure ya sasa,this man is a real kop fan! Japokuwa ameadimika siku hizi humu,labda maisha pia yamebadilika,but for sure,personally nina appreciate in him! tubadilike!! 'If you don't cheer us when we are losing,don't cheer us when we're winning'-Bill Shankly.
I am excited about Liverpool
what excites you?
what excites you?
having watched this weekend EPL games, i still think we are better than most... we have squad
Barret Anasema Manquillo and Lucas will be dropped tommorow..Moreno and Allen will start..
So its gonna be Mignolet, GJ, Skritel, Lovren, Moreno, SG, Hendo, Allen, Coutinho, Sterling and Danny..
Hope ts not true, tutaumbuliwa kwenye mid, labda Phill arudi chini..coz hiyo ni direct *diamond formation*
The fact kuwa Moreno and GJ both trained katika Orange Bib's..ni ishara kabisa kuwa wanaweza wakaanza..and i wonder when Emre Can will be 100% fit to play..we're damn short in midfield..we needed Emre kwenye hii game..
BUT naombea diamond ifanye kazi..RS and DS upront with Coutinho behind them.
Surely, it is going to be an exciting game to watch. The first big game of the season.
On the paper, Man City looks strong than Liverpool. Ni ngumu ku-pick first X1 ya Man City kuliko ya Liverpool.
But many of Man City players siyo 100% fit kutokana na wengi kucheza kwenye Fainali za Kombe la Dunia.
Ndiyo maana mechi iliyopita Clichy alipiga right back though Sagna alikuwpo. Nafikiri pia mechi iliyopita Johnson naye alicheza left back.
Nafikiri battle itakuwa in the midfield. Fernando (kushoto) na Henderson (kulia) kwenye mechi zao za kwanza msimu huu.
Tayari MB kafuzu vipimo na leo kuanguka dole gumba kwa mkataba wa miaka 3
tayari mb kafuzu vipimo na leo kuanguka dole gumba kwa mkataba wa miaka 3
mechi moja haiamui bingwanyie jidanganyeni tu! kesho lazima man city wawakalishe ............. mmemuuza Suarez anaejua mmemnunua yule mvuta bange! "45"
Grand PA
everyday is another day... that is why when we scored 5 goals against you... we had the feeling for that another day
win or lose, we are better than before as a squad