Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mario alipoenda Melwood juzi!!!

NICE VIDEO

Watch "Mario Balotelli gets a hero welcome by Liverpool …" on YouTube - Mario Balotelli gets a hero welcome by Liverpool …: http://youtu.be/G_a2lYijBvE
 
Wakuu,tunatakiwa kujenga mazoea ya kuwa humu whether we are winning or losing! Huo ndo ushabiki wa kweli,i have a huge respect kwa ndugu yangu Okhondima,he was always here,hata siku tulipokuwa tunajua kbs tunafungwa! Tena ni wakati ule tumecapitalize kwenye nafasi ya Manure ya sasa,this man is a real kop fan! Japokuwa ameadimika siku hizi humu,labda maisha pia yamebadilika,but for sure,personally nina appreciate in him! tubadilike!! 'If you don't cheer us when we are losing,don't cheer us when we're winning'-Bill Shankly.

Nipo Kaka japokuwa mara nyingi nabaki kuchungulia kidogo. Ila hili halibadilishi kuwa mimi ni shabiki wa Liverpool.
Huu mwaka wetu mwingine wa kushine.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mbona leo tupo kimya sana......mi leo nakunywa mvinyo hapa katika kusheherekea Man utd kudraw....
 
Mario Balotelli will be formally a Liverpool player on Tuesday after putting the finishing touches to his £16million transfer yesterday
He underwent a string of tests as the Merseysiders completed his capture.
However, he still has an issue to resolve with Milan before he can be confirmed as Rodgers' latest recruit. He returned home last night to iron out a problem over his image rights.
Once that is sorted, Balotelli will be free to resume his career in the Premier League.
 
having watched this weekend EPL games, i still think we are better than most... we have squad

nyie jidanganyeni tu! kesho lazima man city wawakalishe ............. mmemuuza Suarez anaejua mmemnunua yule mvuta bange! "45"

Grand PA
 
Barret Anasema Manquillo and Lucas will be dropped tommorow..Moreno and Allen will start..

So its gonna be Mignolet, GJ, Skritel, Lovren, Moreno, SG, Hendo, Allen, Coutinho, Sterling and Danny..

Hope ts not true, tutaumbuliwa kwenye mid, labda Phill arudi chini..coz hiyo ni direct *diamond formation*

The fact kuwa Moreno and GJ both trained katika Orange Bib's..ni ishara kabisa kuwa wanaweza wakaanza..and i wonder when Emre Can will be 100% fit to play..we're damn short in midfield..we needed Emre kwenye hii game..

BUT naombea diamond ifanye kazi..RS and DS upront with Coutinho behind them.
 
Surely, it is going to be an exciting game to watch. The first big game of the season.

I hope I won't be dissapointed maana nime-cancel kuwa mahali ili niangalie hii mechi live, but I don't expect to see someone aki-slip though.

On the paper, Man City looks strong than Liverpool. Ni ngumu ku-pick first X1 ya Man City kuliko ya Liverpool.

But many of Man City players siyo 100% fit kutokana na wengi kucheza kwenye Fainali za Kombe la Dunia.

Ndiyo maana mechi iliyopita Clichy alipiga right back though Sagna alikuwpo. Nafikiri pia mechi iliyopita Johnson naye alicheza left back.

Nafikiri battle itakuwa in the midfield. Fernando (kushoto) na Henderson (kulia) kwenye mechi zao za kwanza msimu huu.

_77103917_fernandohenderson.jpg
 
Surely, it is going to be an exciting game to watch. The first big game of the season.

On the paper, Man City looks strong than Liverpool. Ni ngumu ku-pick first X1 ya Man City kuliko ya Liverpool.

But many of Man City players siyo 100% fit kutokana na wengi kucheza kwenye Fainali za Kombe la Dunia.

Ndiyo maana mechi iliyopita Clichy alipiga right back though Sagna alikuwpo. Nafikiri pia mechi iliyopita Johnson naye alicheza left back.

Nafikiri battle itakuwa in the midfield. Fernando (kushoto) na Henderson (kulia) kwenye mechi zao za kwanza msimu huu.

_77103917_fernandohenderson.jpg

Yeah..lakin bado nadhan watatuonea kwenye midfield..wana Fernandinho, Reges and Toure..i think BR will play SG, Allen and Hendo katika midfield..na kama atataka kucheza katika diamond formation basi Sterling na Danny ndo watakuwa mbele (last season we had Suarez)..

Nadhan Emre can kama angekuwa 100% fit tungeenda nao sawa kwenye midfield..
 
everyday is another day... that is why when we scored 5 goals against you... we had the feeling for that another day

win or lose, we are better than before as a squad

Sometimes people find themselves to be replied with a hurting post.
 
Adam Lallana...mwaka huu tuna depth kiukweli,huyu jamaa tumemsajili lakini hata huwa simkumbuki aisee,huwa nikifikiria wapi acheze Markovic kwenye starting XI,Lallana sijui ndo itakuwaje tu
 
Back
Top Bottom