Liver mshachapwa kimoja na Fulham lol,gemu yaendelea mdk ya 40 sasa
Karibu jamvi letu, hatukufukuzi kama ulivyonifukuza siku ile kwenu!!😕
Rafa, refa na Dagen wameamua kutupatia kipigo cha 5 mwaka huu
Chumaaaaaaaaa,cha tatu..Fulham 3 Liverpool 1
Poleni wazee ila ndio safari naona msimu huu umekukalieni kushoto
Heri watupige 5 ili kocha akatie akili akiwa nyumbani, maana hata kama ni majeruhi hii soo
Naona kama Rafa ameshagonga ukuta kibarua kimeshaota majani tusubiri tangazo tu!Heri watupige 5 ili kocha akatie akili akiwa nyumbani, maana hata kama ni majeruhi hii soo