chris mushendwa
Senior Member
- Apr 27, 2011
- 173
- 102
dah nimetulia kuangalia mpira bila kuja Jamiiforum ila sasa duh nimebaki Naomba dua dk 90 ifike na hivi naumwa Homa sasa itazidi doh plz God kwa Leo zipeleke dk upesi Inatosha!

Endelea kushusha updates mkuu,usiogope wala nini. Kumbuka kelele za Mbu hazitoboi Chandarua.
"Nlikuwepo":bolt: