Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo Aguero, navas Jesus , sagna,Milner wote hawahacheza then unasifia liver mnatimu nzr mwaka huu, mpira karne hii ni pesa, club zinazotumia pesa ndio zinavuna Sio Maneno na speculations
 
dah nimetulia kuangalia mpira bila kuja Jamiiforum ila sasa duh nimebaki Naomba dua dk 90 ifike na hivi naumwa Homa sasa itazidi doh plz God kwa Leo zipeleke dk upesi Inatosha!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
dah nimetulia kuangalia mpira bila kuja Jamiiforum ila sasa duh nimebaki Naomba dua dk 90 ifike na hivi naumwa Homa sasa itazidi doh plz God kwa Leo zipeleke dk upesi Inatosha!

Pole sana.....ila sio mbaya....BR atalekebisha makosa....makosa ni madogodogo tu ndio yametucost.
 
dah nimetulia kuangalia mpira bila kuja Jamiiforum ila sasa duh nimebaki Naomba dua dk 90 ifike na hivi naumwa Homa sasa itazidi doh plz God kwa Leo zipeleke dk upesi Inatosha!

Pole sana Pazi,You will never walk alone........
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kufungwa, bado nauona hii ni timu ya ushindani, na inabidi tuhangaike na kina Man U, Swansea, na vitimu vya chini.

Hawa tutawasubiri wakija Anfield; Mtu kwao.
 
Back
Top Bottom