Pamoja na kufungwa, bado nauona hii ni timu ya ushindani, na inabidi tuhangaike na kina Man U, Swansea, na vitimu vya chini.
Hawa tutawasubiri wakija Anfield; Mtu kwao.
Tuangalie game ijayo tukiwa na Sper Mario,nadhani tutafanya makubwa sana kufidia hizi goli tatu kimya.
magoli mengi zaidi na endapo tukiruhusu magoli basi yawe machache sana.
YNWA,YNWA...
"Nlikuwepo":bolt:
Man U inatia huruma sana....Itabidi warudi machimboni kwa kipindi kirefu sana
Ndiyo tabia ya historia mkuu.....Watatakiwa kufufuka na kuanza upya kama Liver!!