Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu mpira Moreno nilijuwa hatoendelea itakuwa kaweza kuukanyagia tunacheza Kama ilivyokuwa Totenham na Totenham sasa wanacheza Kama sie hii Game Kama zile za City wakipiga United zile game za 4-1 na 6-1 LFC imecheza ovyo Kabisa.
 
Dropping Manquillo, kumuanzisha kwa mara ya kwanza Moreno katika game ngumu kama hii, Kuendelea kumchezesha Coutinho wide..GJ kuendelea kuwepo uwanjani..ni vitu vichache tu ambavyo hata KIBADENI angevifikiria kabla ya kupanga kikosi..

SAKHO or AGGER deserves kuanza kwenye Back 5..

It hard to say this but BR team selection, Moreno and Lovren costed us this match..

Tukiendelea kumchezesha Coutinho wide tutastruggle sana..hata kama Balotelli atakuwepo uwanjani..

NI AIBU sana.
 
Mimi siongei kwa sababu ya ushabiki ila kwa sababu naamini kuwa lazima Man wangefika kilele cha mafanikio na kutakiwa kuanza upya.

Kama unadhani kuwa naongea kwa sababu ya kuwachukia Man U basi tusubiri tuone!

Usubiri uone nn, misimu yote ukiondoa uliopita Man U uanza ktk mazingira haya na mwisho unaujua vema tena I kushindana na timu zilizotumia mabilioniya fedha wakati huo, hivyo sikuona mantiki ya kuifananisha na Liverpool au Asernal ambazo mpaka Leo bado wako kaburini, sioni chochote cha kufufuka!!!
 
Jamani Kwaherini nilikuwepo LFC YNWA! We Go Again hao wataokuja wataipata! J4 Manchester United inacheza ni siku ya CL sindio au?
 
Tutarudi Anfield tutajipanga!Moreno asinge anza mechi ngumu kama hii na Lovren mechi ijayo akae nje kidogo aone shughuli ya Sakho!

Liver tulistahili point ktk mechi hii!SG na Hendo wamecheza vyema sana
 
Khe khe khe kheeeeeee khe m2tuachie top 4 ye2 na ss mwakan 2cheze ucl
 
Timu inaonyesha uhai tumekutana na timu bora hakuna tatizo yeyote atakayekatiza hatotoka salama tunaanza na totenham
 

Msipende kila wakati kukimbilia kutoa lawama, hata angefanya kwa kufuata mtazamo wako stil mngefungwa lawama ungezipindua tena, soka Lina mambo mengi .... Narudia kusema mpira wa sasa ni pesa, man city ni timu iliyotumia pesa nyingi kuwekeza Ktk soka na kwa Muda mrefu , liver hawajafanya na wakifanya ni mambo ya bei rahisi , ifike wakati watu wakubali kushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…