The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Liverpool FC mwaka huu timu ni nzuri sana...kupoteza leo ndo itakuwa changamoto ya kufanya vizuri game zijazo.
Next weekend pale Anfield patachimbika sana...Spurs itabidi akae tu.
Msipende kila wakati kukimbilia kutoa lawama, hata angefanya kwa kufuata mtazamo wako stil mngefungwa lawama ungezipindua tena, soka Lina mambo mengi .... Narudia kusema mpira wa sasa ni pesa, man city ni timu iliyotumia pesa nyingi kuwekeza Ktk soka na kwa Muda mrefu , liver hawajafanya na wakifanya ni mambo ya bei rahisi , ifike wakati watu wakubali kushindwa
Your not an LFC fan, so u dont know what the ----ing you talking about..
Tunachoangalia hapa ni uhalisia, kwenye mpira kuna kushinda, kuwin ma kuloose, but inategemea umeipanga team kias gani mpaka ufikie kufungwa..makosa madogo madogo yanaweza kufutwa tu kama kocha akiwa makini..
Moreno ni mchezaji mpiya, Hajacheza a competitive match tangu ile fainal ya Europa League dhid ya Benifica, leo hii unakuja kumuanzisha kwenye game ngumu ya away tena dhidi ya Watetezi wa EPL??(ungefanya hivyo kama ungekuwa kocha???) je Mangala wa Man city yupo injured? the answer is NO, kwann Pelegrin haMrush???
Manquillo alikuwa ni mmoja ya wachezaji bora katika game yetu na southampton..yet he was dropped.. can you tell me why BR dropped him??
Na kingine, Shabik yoyote wa LFC duniani wanajua kuwa Coutinho anaperfome vizuri akicheza nyuma ya ST, asa kama sisi mashabiki tunaliona hilo, kwanini manager halioni hilo na anafanya mazoez kila siku na Coutinho..Versatile can be an issue, lakin hata Messi ukimpeleka namba 7 au 8 hawez kuperfome kama anavyoperfome kwenye namba yake ya kila siku..so kwann umpeleke mchezaji akacheze namba ambayo anaboronga kila siku??..for what??
Na cha mwisho individual errors ndo zilitucost ubingwa last season, every team zinakutana na individual errors lakin za LFC zimezid, leo makosa ya Moreno na Lovren ndo yametucost(kama ni kweli kwann nisilalamike??)..na tunasema kila siku hapa LFC inahitaj defensive coach..msimu huu SUAREZ hayupo kusema kwamba atafukia makosa ya Mabeki kwa kuscore magoal mengi..
Kuna makosa madogo madogo ambayo ni innevitable..lakini haya tunayoyafanya ndo yanatucost kila siku, Mbona hamtak kufumbua macho na kuyaona hayo???
Kisa Ni BR ndo tusiwalk.tsize??..
Inaelekea ndo kilichobaki siku hizi. Watu tunavizia vifo vitokee kwa wengine ndo tutoe pole. kifo kikitokea kwetu, nyumba zinakimbiwa
Bro huwo ni mtizamo wako.
Nafasi tulizopata atukuzitumia Hilo Je ukuliona?
Binafsi ni mapema kumlaumu kocha.
Pale Liverpool Kuna wachezaji 46 sasa kama kila funs atataka anayempenda acheze Mbona utakuwa bahara.Nami mtizamo wangu ningependa Balotel acheze.
Na huu ndo ukweli,wanaKop wenzangu wanajitia upofu,Man city wana team nzuri sana,we have to be realistic
Niwazuri mno Totenham ss iv wala ucshangae tukipoteza hio gam tatizo cc imekua kama tuna anza
Liverpool sio timu shindani..wanakimbia kimbia tu
Aisee unamaanisha au umeamua kuongea tu?mi naona kupoteza huku ndo kujipanga vzuri tulia utaona tu
Ushabiki mwingine hauna maana , liver anamiaka 24 tangu abebe kombe hili Man U ni mwaka jana tu ndio hakulibeba, jaribu kuwa mnabalance
Namaanisha sana..
Kiongozi kuiita Liverpool siyo team shindani sababu imefungwa na Man City hauitendei haki Liverpool!
Kwa kukumbusha ktk mechi 10 za EPL(miaka 5 sasa)Liverpool KAFUNGWA mara 9 Etihad na kapata sare 1 tu!
Hata mwaka jana na Suarez ndani tulifungwa Etihad au napo hatukuwa washindani?
Hongereni kwa kutokufungwa mengi zaidi. Mlikuwa na dakika 25 za mwanzo kumaliza mchezo mkashindwa. Huwezi kupanga kikosi cha kitoto namna ile afu umfunge man city.
That squad was highly inexperienced.
Poleni ila ndo ukweli. Liver can not beat City wala Chelsea...labda hizo timu nyingine!!!
Ok hatuwezi mfunga Chelsea lkn Chelsea hata mwaka huu atakuwa namba 3 huko!!
Unamfunga Liverpool na Man City lkn unafungwa na Cardif;Crystal Palace;Sunderland;Fulham;Westbrom ahahahahaha
Mkuu nimerudia mara 2 kuangalia game hii!Man City wametufunga sababu ya clinical finishing yao!wao wakipata nafasi wanafunga sisi tukawa tunapoteza!
Mkuu nakuhakikishia Liverpool hii inaweza simama na team yyt ile duniani!Kama alivyosema BR kwenye post match vijana hasa Lovren na Moreno hii ndiyo mechi yao ya kwanza kubwa kucheza watazoea watatulia