Msipende kila wakati kukimbilia kutoa lawama, hata angefanya kwa kufuata mtazamo wako stil mngefungwa lawama ungezipindua tena, soka Lina mambo mengi .... Narudia kusema mpira wa sasa ni pesa, man city ni timu iliyotumia pesa nyingi kuwekeza Ktk soka na kwa Muda mrefu , liver hawajafanya na wakifanya ni mambo ya bei rahisi , ifike wakati watu wakubali kushindwa
Your not an LFC fan, so u dont know what the ----ing you talking about..
Tunachoangalia hapa ni uhalisia, kwenye mpira kuna kushinda, kuwin ma kuloose, but inategemea umeipanga team kias gani mpaka ufikie kufungwa..makosa madogo madogo yanaweza kufutwa tu kama kocha akiwa makini..
Moreno ni mchezaji mpiya, Hajacheza a competitive match tangu ile fainal ya Europa League dhid ya Benifica, leo hii unakuja kumuanzisha kwenye game ngumu ya away tena dhidi ya Watetezi wa EPL??(ungefanya hivyo kama ungekuwa kocha???) je Mangala wa Man city yupo injured? the answer is NO, kwann Pelegrin haMrush???
Manquillo alikuwa ni mmoja ya wachezaji bora katika game yetu na southampton..yet he was dropped.. can you tell me why BR dropped him??
Na kingine, Shabik yoyote wa LFC duniani wanajua kuwa Coutinho anaperfome vizuri akicheza nyuma ya ST, asa kama sisi mashabiki tunaliona hilo, kwanini manager halioni hilo na anafanya mazoez kila siku na Coutinho..Versatile can be an issue, lakin hata Messi ukimpeleka namba 7 au 8 hawez kuperfome kama anavyoperfome kwenye namba yake ya kila siku..so kwann umpeleke mchezaji akacheze namba ambayo anaboronga kila siku??..for what??
Na cha mwisho individual errors ndo zilitucost ubingwa last season, every team zinakutana na individual errors lakin za LFC zimezid, leo makosa ya Moreno na Lovren ndo yametucost(kama ni kweli kwann nisilalamike??)..na tunasema kila siku hapa LFC inahitaj defensive coach..msimu huu SUAREZ hayupo kusema kwamba atafukia makosa ya Mabeki kwa kuscore magoal mengi..
Kuna makosa madogo madogo ambayo ni innevitable..lakini haya tunayoyafanya ndo yanatucost kila siku, Mbona hamtak kufumbua macho na kuyaona hayo???
Kisa Ni BR ndo tusimkritsize??..