Time will tell bro! Time will tell... Chelsea kufungwa msimu huu lazima ujipange sana aisee!!!!
Unajua watu wanasahau Man city ni timu ngumu na ina kikosi kikubwa,Aguero anaanzia benchi,Navars,Fernandinho?? Afu unalalamika kufungwa na city? They are playing awesome football,a lot of world class players pale,ukilinganisha kikosi chao na chetu,kocha wao na wetu huna haja ya kuumia roho,jana tulistahili kufungwa,na huo ndo ukweli.
My kaka pole sana,you will never walk alone.....
Your not an LFC fan, so u dont know what the ----ing you talking about..
Tunachoangalia hapa ni uhalisia, kwenye mpira kuna kushinda, kuwin ma kuloose, but inategemea umeipanga team kias gani mpaka ufikie kufungwa..makosa madogo madogo yanaweza kufutwa tu kama kocha akiwa makini..
Moreno ni mchezaji mpiya, Hajacheza a competitive match tangu ile fainal ya Europa League dhid ya Benifica, leo hii unakuja kumuanzisha kwenye game ngumu ya away tena dhidi ya Watetezi wa EPL??(ungefanya hivyo kama ungekuwa kocha???) je Mangala wa Man city yupo injured? the answer is NO, kwann Pelegrin haMrush???
Manquillo alikuwa ni mmoja ya wachezaji bora katika game yetu na southampton..yet he was dropped.. can you tell me why BR dropped him??
Na kingine, Shabik yoyote wa LFC duniani wanajua kuwa Coutinho anaperfome vizuri akicheza nyuma ya ST, asa kama sisi mashabiki tunaliona hilo, kwanini manager halioni hilo na anafanya mazoez kila siku na Coutinho..Versatile can be an issue, lakin hata Messi ukimpeleka namba 7 au 8 hawez kuperfome kama anavyoperfome kwenye namba yake ya kila siku..so kwann umpeleke mchezaji akacheze namba ambayo anaboronga kila siku??..for what??
Na cha mwisho individual errors ndo zilitucost ubingwa last season, every team zinakutana na individual errors lakin za LFC zimezid, leo makosa ya Moreno na Lovren ndo yametucost(kama ni kweli kwann nisilalamike??)..na tunasema kila siku hapa LFC inahitaj defensive coach..msimu huu SUAREZ hayupo kusema kwamba atafukia makosa ya Mabeki kwa kuscore magoal mengi..
Kuna makosa madogo madogo ambayo ni innevitable..lakini haya tunayoyafanya ndo yanatucost kila siku, Mbona hamtak kufumbua macho na kuyaona hayo???
Kisa Ni BR ndo tusimkritsize??..
Kheeee timu imebanduliwa mara 9 bado unasema shindani? Haya bwana mkubwa Liverpool ni mabingwa na wanajua kucheza kwelikweli
Msimu huu MCFC na CFC wapo vizuri, wana vikosi vizuri sana.. Ni makocha tu wajue jinsi ya kuweka timu zao kiushindani zaidi. Otherwise the battle will be kati ya Man City na Chelski.
Tatizo liko wapi, Swansea sio timu?? haichezi EPL??
Mmeshindwa mpaka wakaamua kuliweka wao wenyewe....
'Mmepigwa' kubali hiyo 3-1
Sent from my iPhone using JamiiForums
England - Premier League
FTManchester City
3 - 1
Liverpool
S. Jovetić
41 '1 - 0
S. Jovetić
55' 2 - 0
S. Agüero
69' 3 - 0
3 - 1
83' P. Zabaleta
(OG)
Halafu watu mtalalamika sana humu,na tutaendelea kufungwa sana mpk msimu unaisha,tatizo letu ni mfumo tu,just formation,na ndo mana mimi sijawahi kumkubali BR,ni kwa sababu ya mifumo yake ya ajabu ajabu,unacheza na DM mmoja tu,tena SG aliyeanza kuchoka? Unategemea nini? Team ipo very attaking minded,weka viungo wakabaji wawili pale kati,weka GJ benchi,mbona rahisi tu? Tusipoangalia tutamaliza nafasi ya 7,nitahuzunika na kufurahi pamoja,nitahuzunika kwa nafasi tuliyomaliza nayo,na nitafurahi make najua J.W.Henry atamfukuza mtu kazi.
Kama jana mngecheza 4-3-3 ya Sturridge-Rahim na Lambert angalau kwa dakika 45 tu msingefungwa vile..
Kocha bado hajui namna ya kushinda mechi kubwa...
poleni wakuu..rekebisheni mapema hali ligi ndo inaanza.
cc. Mosdef..
Bro huwo ni mtizamo wako.
Nafasi tulizopata atukuzitumia Hilo Je ukuliona?
Binafsi ni mapema kumlaumu kocha.
Pale Liverpool Kuna wachezaji 46 sasa kama kila funs atataka anayempenda acheze Mbona utakuwa bahara.Nami mtizamo wangu ningependa Balotel acheze.
Ahsante bw. agosti 8. Kocha wetu bado ana mengi ya kujifunza! Ningepata chance ya kumshauri,ningemwambia aache kuongea sana kwenye media,afanye kazi...akifanya kazi nzuri,hizo media zitamuongea zenyewe,he still has a long way to go in his managerial carrier
Umeanza kuishabikia LFC lini??
Ni mapema kumlaumu BR??..jesus!!!
kama ungekuwa umeanza kumfatilia BR tangu 2012 katika BIG GAMES sidhan kama ungekuja na hizo Lame excuses!!
Man city walikuwa average sana last night..WE GIFTED THEM GOALS..
Kwa kifupi BR hawezi kabisa kubadili mchezo, unavyoanza ndivyo unavyomalizika hivyo hivyo. Coutinho inajulikana wazi hawezi kucheza pembeni kamuacha huko huko hadi anatoka bila kujaribu kumrudisha kwenye namba yake. Kuhusu kuanza kwa Moreno nadhani kulikuwa hamna option nyingine kama hatutaki Johnson aanze. Watu wa kucheza kushoto ni Flanno (Mgonjwa), Agger (Mgonjwa), Sakho (mzito sana hasingeweza) Sijajua kuhusu Enrique. Mwisho wa siku Manqullo angeanza lazima Johnson angecheza LB na kelele zingekuwa zile zile kwa nini hakucheza Moreno.
MosDef kuna post yako umeandika ni muda wa Sakho au Agger mmojawapo aanze ila haujatuambia kati ya Lovren na Skrtel nani aachie nafasi kwa Agger au Sakho.
Mkuu kuthibitisha Chelsea yupo vizuri msimu huu kacheza na nani wa maana?Mbona ka struggle sana kwa Leicester City?Leicester walikosa mabao kibao
Ahsante bw. agosti 8. Kocha wetu bado ana mengi ya kujifunza! Ningepata chance ya kumshauri,ningemwambia aache kuongea sana kwenye media,afanye kazi...akifanya kazi nzuri,hizo media zitamuongea zenyewe,he still has a long way to go in his managerial carrier
Sometimes people find themselves to be replied with a hurting post.