bora umejitokeza mkuu hili tuweze kukupa pole. mchawi wako benitez na sub zake alizofanya za ajabu.mpelekeni mkampime akili yule jamaa kama mzima au vipi manake saa nyingi decision zake za ajabu sana.torres,benayoun na kuyt wote wameshangaa kutolewa lol.
Naona watani mumekata rufaa zile kadi nyekundu, mimi nahisi Degen alionewa ila Carra kwa kweli amechoka muwacheni tu apumzike kidogo
Nakubali, he's a dead man walking, nahisi mechi ya Lyon will be a make or break kwa Benitez, lakini naamini hata mkishinda hii mechi bado haitoshi. Ataondoka tu.Hata waki-appeal, Rafa is losing it!!
Yaani jana pamoja na furaha ya ushindi wa simba, niliishia kulewa kwa depression!!!
I knew u will be back from the ''I see u''......! hope una rejuvenate pole pole naona umeshapata nguvu mpya sasa! SS tulikuwa tunapasha moto kijiwe chako in ur absence mkuu!
Thanks Mkuu kwa kuendelea kupasha moto kiporo, hali yangu ilikuwa mbaya mazee!!!
Next time huyu benitez ntamtaftia Nzowi amnyee mbofumbofu
Unajua liverpool ni kama vile wako katika kipindi kigumu sana kwa sasa, majeruhi, tactics nk. vyote vinagomba
Hatawalipomfunga manchester ilikuwa ishara tu kwamba they have enough quality in their team lakini tactics zao si safi kwa sasa, ila kinachofuata sasa ni kumtafuta mchawi then wamtimue Benitez wa watu ili wajifariji...
Lakini ukweli ni kuwa Liverpool ni nzuri kwa sasa
Nafikiri Mabagala would be perfect for the job...ha!ha!haaaaa!
Mbu,
Unajua sisi wapenzi wa Bwawa la Maini sio 'viredio' kama wapenzi wa timu chovu maarufu tatu. Kwa hiyo tupo na tunaserebuka na kujiandaa na ubingwa hapo May.
Tim yetu haina hela ndo maana benitez mawazo yoteee ni UEFA, coz anajua atleast akiingia robo fainali anaweza pata pesa. Wakuondoka ni wote wamarekani na yeye, tuanza upya kabisaaa.
Leo mnalambishwa 2-0 na lyon karibuni Arsenal bado tunahitaji mashabiki
Mkuu hao sijakupata, Uliipenda arsenal?. hope uliipenda na siyo kuishabikia,maana watanzania wengi wakiipenda ndo wanaishabikia hivyohivyo.Sawa Mfukunyuzi... ila hilo la Arses, katu haiwezekani, hasas ukizingatia nilianza ushabiki wakati Daglish anascore na Tony Adams yuko kindergatten
Niliipenda Arsenal ile ya akina lee dixon na winterburn!! wakati Ian wright anapiga mabao
Mkuu hao sijakupata, Uliipenda arsenal?. hope uliipenda na siyo kuishabikia,maana watanzania wengi wakiipenda ndo wanaishabikia hivyohivyo.
sumemuona owen ujumbe aliopewa aliambiwa once a MANC never a red, wakimaanisha ukichezea manure hauwezi ukawa red [liverpool] in your heart.