TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
bora umejitokeza mkuu hili tuweze kukupa pole. mchawi wako benitez na sub zake alizofanya za ajabu.mpelekeni mkampime akili yule jamaa kama mzima au vipi manake saa nyingi decision zake za ajabu sana.torres,benayoun na kuyt wote wameshangaa kutolewa lol.
Nadhani ana matatizo na mkewe labda, he is becoming sooo different, halafu simuoni kama anakuwa karibu na Sammy Lee kabisaa