Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaa kaamua kupasua jipu
 
Jamaa kaamua kupasua jipu

Mkuu hapo ndio inaposaidia healing... Xabi was an invisible captain!!!

Tunamatatizo makubwa, Torres anaenda kwenye surgery, Gerro anahitaji surgery, Aquilani hayuko tayari na Babbel has succumbed to his emotions

lets wait and see how Rafa will play his tactics

MTM
 
...MTM, QM, FMES... etc

kila la kheri wazee wa bwawa la maini,...
Najua wanazi wa Man U na Chelsea wanatusubiria kwa hamu (Arsenal & Liverpool) leo tuteleze,....
haya, macho na masikio yangu nayahamishia Imarati!

Baadae 🙂
 
Mkuu, hiyo ndiyo maturity... mwenzako akifiwa, unampelekea jamvi na si majivu!!!

Bravo
 
COME-ON you Kops! inakuwaje mbona mko kimya? You will never walk alone! ushindi leo ni lazima! don't be scared!
 
COME-ON you Kops! inakuwaje mbona mko kimya? You will never walk alone! ushindi leo ni lazima! don't be scared!

Mkuu, ni kimya kwasababu its nil-nil, nothing electric at all, tuna makona mengi lakini veronica anatutesa kule mbele, hafai hata kwa service
 
Mkuu, ni kimya kwasababu its nil-nil, nothing electric at all, tuna makona mengi lakini veronica anatutesa kule mbele, hafai hata kwa service
Huyu Veronica kweli ni bomu lakini kinachonishangaza mimi kwa nini Rafa ameshindwa kuwatumia Babel, Kuyt na Benayoun ipasavyo? inaonyesha Rafa ana mapunguifu katika kupata 'the best out of a player' ingekuwa Arsene au Fergie wangeng'aa hawa jamaa.
 
Mkuu, maamuzi ya Rafa anayajua yeye na mkewe tu!!!
 
nahisi kama tutashinda leo kwenye dakika za mwishoni.

I dont see it coming, naona kama wanatanua sana katikati wakati Lucas na Masch wana ligi yao ya south america, its not working for the midfield at all
 
Naona Rafa the Gaffer kabakiza dakika tu! What a sad day!
 
Mkuu ulikuwa right!!! Heshima mbele sana

Pamoja...

one nil to liverpool

Congrat! alau huyu jamaa apumue, mununue muda wa kutafuta Mrithi wa kiti chake.
 
Congrat! alau huyu jamaa apumue, mununue muda wa kutafuta Mrithi wa kiti chake.

Tatizo ni mkataba wake, halafu liver wamefulia kifedha, hakuna meneja mzuri atakubali kuja kufundisha..... bora abali tu amalize mkataba maana akiondolewa sasa analipwa 20M quids!!
 
Poleni wakuu jamaa wamechomoa!

I think its over now for liverpool mazee, its a tough time but they need to sort themselves up

over five games now they concede in late minutes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…