Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tony Barret and SSN are saying we want Valdes, but wanasubiria Fitness yake itakuwaje, manake Valdes ni free agent, So anaweza akamove anytime..
 
SUAREZ yupo Melwood right now..

Jamaa anaipenda sana LFC, sijui kwann aliondoka sasa!!!
 
Mkuu Falcao anakuja Man U
Tungecheza nao mapema hawa kabla hawajawa fit

Balague huyo anatia sana watu presha, Jana usiku alisema Falcao ti man city ni DONE DEAL, leo anasema Falcao to Man Utd ni DONE DEAL..
 
SUAREZ yupo Melwood right now..

Jamaa anaipenda sana LFC, sijui kwann aliondoka sasa!!!

Anafanya nini LFC tena super suarez? Nampenda sana huyu jamaa...na kwa vile naisuport BARCA pia,kwangu mimi jamaa ni kama katoka chumbani kaingia sebuleni! Yupo mulemule!
 
Anafanya nini LFC tena super suarez? Nampenda sana huyu jamaa...na kwa vile naisuport BARCA pia,kwangu mimi jamaa ni kama katoka chumbani kaingia sebuleni! Yupo mulemule!

Atakuwa ameenda kutembea tu kama wanavyofanyaga kina Garcia na kina Hamman..

Torres alikuwa anaona aibu kuja, kaondoka vibaya sana LFC, Agger alishawahi kuulizwa kuhusu Torres, Akajibu hivi...
 
Attachments

  • 1409568228232.jpg
    71.6 KB · Views: 82
Mkuu Falcao anakuja Man U
Tungecheza nao mapema hawa kabla hawajawa fit

Yaani ktk timu ambazo najua tutajichapia home and away ni Man U hata wamlete nani...hiyo timu yao inahitaji wazoeane na kuzoea mbinu za kocha kwanza ndo wawe washindani.

Jamani timu yetu ni nzuri msimu huu...!
 
"...ukiwa na imani unaweza hamisha milima"
 
Suarez and SG at MELWOOD today!!
 
Attachments

  • 1409570758669.jpg
    93.2 KB · Views: 72
BR hajataja jina la mchezaji,ila nadhani hii inawahusu akina Borini,Asaidi,and co.
Nimesoma BBC BR anasema kuna wachezaji kama kina Lucas amewaambia watafute timu, naona iko powa lakini nafsi inaniuma sana GJ na Kolo Toure kuendelea kuakaa pale benchi (hawa watu wangepotea kabisaaaaaaa).
assadi amekwenda sunderland, kolo toure amekwenda new castle, borini amekwenda qpr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…