Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Yule Aly Cissokho mnamkumbuka? Amesajiliwa Aston villa msimu huu,jana kajifunga..teh teh teh!
Mkuu Falcao anakuja Man U
Tungecheza nao mapema hawa kabla hawajawa fit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Aly Cissokho mnamkumbuka? Amesajiliwa Aston villa msimu huu,jana kajifunga..teh teh teh!
Mkuu Falcao anakuja Man U
Tungecheza nao mapema hawa kabla hawajawa fit
Mkuu Falcao anakuja Man U
Tungecheza nao mapema hawa kabla hawajawa fit
SUAREZ yupo Melwood right now..
Jamaa anaipenda sana LFC, sijui kwann aliondoka sasa!!!
Anafanya nini LFC tena super suarez? Nampenda sana huyu jamaa...na kwa vile naisuport BARCA pia,kwangu mimi jamaa ni kama katoka chumbani kaingia sebuleni! Yupo mulemule!
Mkuu Falcao anakuja Man U
Tungecheza nao mapema hawa kabla hawajawa fit
Yaani ktk timu ambazo najua tutajichapia home and away ni Man U hata wamlete nani...hiyo timu yao inahitaji wazoeane na kuzoea mbinu za kocha kwanza ndo wawe washindani.
Jamani timu yetu ni nzuri msimu huu...!
"...ukiwa na imani unaweza hamisha milima"
BR hajataja jina la mchezaji,ila nadhani hii inawahusu akina Borini,Asaidi,and co.
assadi amekwenda sunderland, kolo toure amekwenda new castle, borini amekwenda qprNimesoma BBC BR anasema kuna wachezaji kama kina Lucas amewaambia watafute timu, naona iko powa lakini nafsi inaniuma sana GJ na Kolo Toure kuendelea kuakaa pale benchi (hawa watu wangepotea kabisaaaaaaa).
assadi amekwenda sunderland, kolo toure amekwenda new castle, borini amekwenda qpr
assadi amekwenda sunderland, kolo toure amekwenda new castle, borini amekwenda qpr
Hii ya Kolo Toure ni taarifa njema kwangu aisee! Baadae nashushia safari ya motooo! Thanks kwa news mkuu.