Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naje wakubwa ynwa....cjui kama niko sahihi ila naona kama markovic is another aspas
 

MosDef, I like your passion on LFC. It's incredibly phenomenal.

Having said that, kukosoana ndiko kunajenga. Uko sahihi kumkosoa BR kwani hata mimi nili-comment humu kuwa obviously ali-goof kwenye mechi na Man City. On the other side, si vibaya pia kwa mtu mwingine kuja akawa na wazo tofauti - don't take offence...just give him "madini" just like you have done above.

There's no much media hype about our team this season lakini I have a feeling tutaushangaza ulimwengu kwenye EPL msimu huu. Watch us!

Come on you Reds!!
 
Last edited by a moderator:
Suarez and the Boys wakati alipoenda kuvisit MELWOOD today..
 

Attachments

  • 1409578635815.jpg
    79 KB · Views: 84
Naje wakubwa ynwa....cjui kama niko sahihi ila naona kama markovic is another aspas

Ni kweli kabisa,haupo sahihi! MARKOVIC sio na hatakuwa kamwe,Aspas-like...hivi nikuulize kitu,umemfahamu Markovic lini? Isije ikawa juzi tu hapa alivyokuja LFC?! After all,Markovic ana miaka 20 tu,Aspas ana miaka 27,mfatilie kwanza hata yutyubu
 
ngojeni awatoe udhu, muda si mrefu ngojeni tu..ha hahaha ha ha mnamjua SUPER MARIO kweli? hafugiki huyu..

si kwamba anapenda kufanya fujo, ila ndo alivyo. akitulia anaona kama mwili unawasha..anatamani kupewa kadi nyekundu au kugombana na kocha.:A S 109:

salama LFC? napita tu..naona mmemtosa AGGER ha haha ha kakosea nini jamani?



 
kaka salama? hatuonani siku hizi; uko bize na usajili?

napita tu, juzi nilikuwa nafanya 'fujo' nyumba ya jirani na wewe..

tutakutana tu nadhani Novemba.


Suarez and the Boys wakati alipoenda kuvisit MELWOOD today..
 
kaka salama? hatuonani siku hizi; uko bize na usajili?

napita tu, juzi nilikuwa nafanya 'fujo' nyumba ya jirani na wewe..

tutakutana tu nadhani Novemba.

hahahahahah!!!!

Nipo mkuu, badae ntakuja Sebuleni kwenu hapo, tujadili mawili, matatu..

Shukran kwa kuwanyamazisha "blue noses" wale (kenge wale)..walitubania sana kwa City last season kwao pale..

Na hawatofika popote pale, plus wana Europa league sahiv, so nafasi ya nane inawahusu sana!!

Afu Hongera bhana, REMY ni decent signing!! £8m ni STEAL kwa yule jamaa..
 
Hii ya Kolo Toure ni taarifa njema kwangu aisee! Baadae nashushia safari ya motooo! Thanks kwa news mkuu.

Kolo toure is STAYING PUT mkuu..anayeondoka ni COATES..(on loan to sunderland)..nahis BR anataka Pace kwa coates, ndo maana kampeleka Sunderland (hapo hapo EPL)
 
Naje wakubwa ynwa....cjui kama niko sahihi ila naona kama markovic is another aspas

Mkuu kuhusu Markovic ni hivi...

jana kama uliangalia game, Manquillo alipewa kadi ya NJANO, mapema tu, na kama unavyomjua Manquillo ni kama flanagan hata uwape NJANO bado watakaza kama awali, so hii inakuwa inasababisha hali ya hatar kwa team (red card), nadhan uliona jana LAMELA alivyowekwa kapuni na Manquillo, na despite na ile card lakin bado alikuwa anamkazia yeye na bwana Chadil, kutokana na hivyo, Ilitakiwa Manquillo apunguziwe presha ya kukaba ili kuepuka Yellow card, Coz baada ya kuongoza Bao 3, tukaanza kucheza kwa kutumia counter attack, i mean tukawa kama tunailinda hiv Clean sheet, so ili kupunguza presha kwa Manquillo ndo akaingizwa Markovic, upande ule ule ili kumsaidia Manquillo, na kama uliona kazi kubwa ya Markovic ilikuwa ni kumsaidia Manquillo kutrack back mipira, ndo maana Lamela na chadil walizidi kupotea kule juu..na Adebayor akazid kuwa Isolated..

Markovic jana hakucheza Mpira wake hence duty aliyopewa..

Markovic is the *New Garcia*

alikuwa na groin kipind cha pre-season, so wanamrudisha taratibu, the same kwa Emre can..

ukiachana na hayo, kina Markovic na kina Can ni wale tunaita *UCL players)..utawaona TU.
 

Mkuu MosDef, sorry kuna paragraphs ambazo nimezikata kwenye ulichoandika…

Aisee hiki kipande nilichokinukuu, nilipokisoma at first time nilijikuta nimesema Mungu epushia Mbali! Daah, haya mambo sijui yanakuwaje…By the time tulipomsajili Lovren tulikuwa tunajivunia kuwa ni moja ya timu yenye CB’s wazuri na wakutosha. Lakini kwasasa baada ya kilichotokea kwa Dagger, Illori, Wisdom, Kelly na Coates..taswira imebadilika kabisa aisee…

Apart from BPL, BR would like to see our team doing well on other competitions. Hii inaweza kutupeleka na kujikuta timu inacheza up to 60 matches.

Sasa angalia, ndiyo kwaanza hata jogoo hajawika, skrtel is side-lined, thanks kwamba Lov uses both legs la sivyo gemu na totte ingebidi babu kolo kucheza na Lov with only Sakho at bench. Hii ni hatari.

Mara nyingi ni vizuri kuangalia maendeleo ya timu after 15 games. Nimeangalia fixture zetu nikaona kipindi cha kufiakia idadi hiyo ya mechi, kinategemea kuwa mwezi wa kumi na moja. Sasa angali balaa kwenye huo mwezi

----------Sat/ 1---------Newcastle-----Away
----------Tue/4---------R-Madrid-----Away
----------Sat/8----------Chelsea-------Home
----------Sun/23--------C-Palace-----Away
----------Wed/26-------Ludogorets------Away
----------Sat/29---------Stoke City-------Home

Huo mwezi umebana sana na lazima kutakuwa na majeruhi halafu imagine back up ya CB ni Kolo!
 

Mkuu tores, hatuna option nyingi kwenye ishu ya kupata Vice captain.

Ukiondoa ishu ya ugeni ningempa Lovren. He is very confident, he can built the team from the back and you can sense that he ‘s got leadership in him. But he need time to get settled in and go along with Liverpool’s traditions.

Now after saying that I have been remain with one person and that is Henderson…remember the way he protect a young smith after a reckless tackle in our pre-season? That is the kind of leadership needed

He is very lucky as well because he has a captain Fantastic to learn from…
 
Wakuu hakuna tetesi zozote kuhusu kupata signature ya Valdez ktk dakika hizi za mwisho-mwisho?
 
Mosdef,Pazi,The magnificent,Black kid, Mzee wa rubisi,Osokonoi,Mentor, Gwamahala & Co tafuteni muda muangalie tena perfomance ya Joe Allen.
Hakika ndo man of the match katika ushindi wetu wa jana.

Mkuu Amanijua tupo pamoja.

Kama jinsi maisha ya kawaida yalivyo, wale ambao wanakuwa-assigned kufanya dirty jobs huwa hawathaminiki. But shughuli yao ni muhimu sana. Manuer hawataweza kutulia mpaka watakapopata mbadala wa Carrick. Tunafahamu kwamba Messi ni mchezaji bora ila engine ya Barca ni Sergio Busquets. Kati ya coaches wanaofahamu umuhimu wa watu wa kazi za aina hiyo ni maureen na ndiyo maana alimrudisha matic.

allen did well not only on totten gemu, lakini pia alikuwa nyota wa timu yetu tulipocheza na manshit...

Kwa heshima yako mkuu nitaiangalia tena gemu yetu...
 

Me skuona mantiki ya kumtoa Coates kwa mkopo at this stage..pia Kama LUCAS nae akiondoka we'll Be katika janga kubwa sana, maana he's the only Natural DM tuliyenae kwenye kikosi..anahitajika sana jamaa...

Sending out Coates and Illori afu kum-bakiza Kolo as a backUp CB doesnt make sense kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…