Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Falcao ajacheza champions league, katoka ureno,kaenda Spain na Monaco sasa man u kacheza lini na timu gani?
we kuku kweli wewe... fuatilia post yangu ya falcao na sifa nilizompa... naona umeamua kukalia kigogo kwa nyuma na kukomalia stats za UCL tu; with or without UCL, you cant take away his profile

he is a top striker, stats zipo online, his goal/match ratio is second to none kwa sasa and his pedigree is beyond your understanding capacity
I dont deal with imbeciles.... get off my d!ck please
 

Haaahaaa
 

A point of correction,agg.kwa spurs ni 12-0.
 
Jamani eeeh... pamoja na typing humu ndani tununue kadi za uanachama basiiii
 
Jamani eeeh... pamoja na typing humu ndani tununue kadi za uanachama basiiii

Wazo zuri sana...kama una maelekezo jinsi ya kuipata nielekeze nianze mchakato wa kuwa nayo yangu.

Au mdau yeyote anayejua jinsi gani naweza kupata. I have been a fun kwa muda mrefu sana but sijaweza kujua how can I get to be a registered member.
YNWA.
 

bila shaka MosDef anaweza kusaidia hapa...mimi binafsi nahitaji kufahamu wapi napata Original kits,namaanisha original kwelikweli,nahitaji tatu,yangu,ya waif na ndogo kbs ya kabinti kangu kadogo(aged only at 1year),mkuu MosDef, na wadau wengine mnaofahamu tafadhali maelekezo yanahitajika hapa
 
Last edited by a moderator:

cheki Home - Liverpool FC

kuna maelekezo kwenye tab ya membership
 

Hahahah!!!

Mkuu The Magnificent umenichekesha sana!!!

HAPO andaa kama laki 350-400, inategemea na aina unayohitaji, kama ni za mikono mirefu, kwa wakubwa ni kama laki150 na vichange Hivi nadhani, mikono mifupi kwa wakubwa ni kwenye laki120 Na vichange...

CHAKUFANYA.

Just ingia kwenye *LIVERPOOL OFFICIAL ONLINE STORE* and place your order, ni rahisi sana, unachagua jersey unayoitaka na Size yako, na za WATOTO zipo ila ndo sijajua Bei zake, si unajua si wengine bado hatuna watoto bro, ila zote utazikuta Huko na price tag zake..Jamaa hawana longolongo.

Asa ungepata kwa bei ya chee kama ungekuwa na Membership vouchers za club, kwa sisi wa MBWINDE Africa huku, ni vizuri kutumia ile *INTERNATIONAL MEMBERSHIP* ambapo ukiwa nayo ile unapata punguzo la 10% kwa kila kitu unachotaka kushop katika our Club online store..(changamkia)..ni Elf60 tu bro, maelekezo yote jinsi ya kuipata voucher yako utayapata unapokuwa unajiregster..(simple sana)..ingia tu LFC official website utayapata yote hayo (kwenye column ya Membership)..

Once ukishaOrder, it'll just take 7 days tu, coz wanatumia DHL tu katika international orders zile!!!
 
Last edited by a moderator:
BARUA YA AGGER kwa LFC fans.
 

Attachments

  • 1409706580991.jpg
    113.9 KB · Views: 86
Our FULL SQUAD for the season 2014/2015 Baada ya Transfer window KUFUNGWA.
 

Attachments

  • 1409706680348.jpg
    111.5 KB · Views: 99
Ninachompendea BRAD JONES, muda wote huwa anasmile, hajawahi kulalamika kukaa Bench, nakumbuka alishawah kusema Kuwepo LFC tu ni FAHARI kwake, so haoni shida kukaa Bench..he's Our 2nd choice keeper right now BUT akija Valdes, Brad atakuwa 3rd choice!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…