I hope this Sturridges issue is no serious
Tunakumbuka mwaka jana kwenye mwezi mei, aliumia kiwiko cha mguu kwenye gemu ya kirafiki na Rep of Ireland, injury iliyomweka nje kwa miezi mitatu, hiyo ikafuatiwa na thing injury on September ambapo alikosa gemu za qualifiers against Lodova n aUkraine..
Miezi miwili baadaye akalazimika kucheza dakika zote 90 kwenye mechi ya kirafiki na Ujerumani huku akiwa na maumivu ya paja. Na kutoka na hilo ilibidi BR ampumzishe kwenye mechi muhimu ya Merseyside derby at Goodison Park. Anafunga goli la kusawazisha akitokea benchi but then injury anayoipata kwenye mazoezi ikamweka nje kwa wiki sita!