Hiki cha pili nadhani kipo poa zaidi,after all sterling anatakiwa kupumzishwa kwa game ya juma4
kwangu mimi Markovic anafaa zaid kwenye UCL games kuliko hata RS!!..IMO!
CAN kaumia, lakin ndo zilikuwa games zake hizi!!!..na ni LAZIMA angekuwa anaanza ahead of LALLANA!!!
UCL football ni tofaut sana na EPL..thats why you can see jins gan Man city wanavyostruggle, Au Arsenal wanavyofikaga mbali kiasi despite na vikosi vyao vya kawaida for the past few years kabla ya ile "the invicibles"..
Nadhan kwa sasa RS ni "UNDROPPABLE"..lakin Markovic ni something Else too!!!
Dah!!!..Aisee BR nahis atakuwa anachanganyikiwa sahv, ndo maana anasema kutakuwa na ROTATION kama enzi za RB, Kikosi ni KIKUBWA sana..but now with CAN and Allen Out Injured, nadhan tutaona sana Phill and Lallana playing in the middle, BUT nachelea kusema We can see LUCAS too, sana sana katika game ya AVC..(if we're to play 4-4-2)..lakin kama itakuwa 4-2-1-2-1 with SG and Leiva patnering themselves in the middle (which haijawah kuwork out under BR) tutaumizwa sana..for Lucas to play well, we need to employ 4-4-2, With Hendo, lucas and Cou, both playing around SG, to cover the mid..itakuwa rahis sana Cou, kupitisha through passes kwa MB na RS or Markovic..!!
But..BR knows BETTER, We just need to win this match, Draw against Aston villa at home was one of the Factors which costed us the TITLE too, Bila kusahau Ile ya So'ton at home (alituua Lovren KIMOJA tu), na Ile ya WBA..so we need to WIN hizi kinda games if we're to challenge for the TITLE again this Season!!!
Tomorrow is the HUGE day!!