Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lineup for tomorrow
Najaribu kulinganisha kikosi hatari kwa kesho
Lineup for tomorrow
Najaribu kulinganisha kikosi hatari kwa kesho
Hiki cha pili nadhani kipo poa zaidi,after all sterling anatakiwa kupumzishwa kwa game ya juma4
Najaribu kulinganisha kikosi hatari kwa kesho
Sasa huyu Lovren atakua anacheza gemu zote jamani??????
Rick Lambert lazima aanze kesho!!!!
Sasa huyu Lovren atakua anacheza gemu zote jamani??????
Rick Lambert lazima aanze kesho!!!!
Balo anaumwa nn tena?Maana nasoma hapa kama atacheza ingawaje ni mgonjwa!Inawezekana ngoja tusubiri kesho tuone itakuwaje.
Balo anaumwa nn tena?Maana nasoma hapa kama atacheza ingawaje ni mgonjwa!
Mechi rahisi hii hata Lambert atatupa bao
Mkuu toka gemu ya totnham, sub ya centre half tuliyenaye sasa ni dingi kolo, sketo majeruhi sasa dingi anajeuri gani ya kuwaweka bench sakho na lovren.
Lineup for tomorrow