Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


true

Sterling is also more productive akiwa winger... and if he tries to play sterling and moreno kwa mechi kama tatu hivi tutakua na deadly attacking left side, sterling in the middle inawapoteza strikers kwa sababu anataka sana kufunga
 
Game sikuicheki ila ndio naangalia angalia highlights na kusoma opinions za watu. Lovren tulitegemea atakuwa mkombozi wetu huku nyuma ila ndio amekuwa matatizo zaidi, ukiangali toka msimu uanze karibu kila mechi tuliyofungwa goli, goli moja kahusika kwa namna moja au nyingine kutokana na uzembe wake.

Kuhusu keeper nadhani BR atakuwa anajuta kwa nini alimuuza Reina. Timu imeshaanza kukatisha tena tamaa, hata ule mzuka wa kusubiri game kila week umeshaanza kupotea.
 
Mimi simlaumu beki yeyote yule,pale hata aje vicent kompany,cahill,hummels etc tutafungwa tuu! Tatizo ni mfumo,na kila siku huwa nasema hapa..defence line yetu haina cover...huo ndo ukweli,weka lovren na hendo pale katikati,gerald weka benchi,beki weka sakho na skirtel..mbele ya lovren na hendo weka allen,lallana,sterling, weka straika mmoja tu pale mbele,either sturidge au baloteli...uone kama tutafungwa kibwege....cc. Janjaweed Pazi MosDef Tores osokonoi Malafyale Mzee Wa Rubisi
 
Last edited by a moderator:
YEssssss

This is the solution and we cant shy away from it... Lovren and Agger could do better holding than Stephen Gerrard, but you cant bench Gerro every match so sometimes ni vizuri kumchezesha rotation na Lovren while Lovren can rotate with Sakho as well

KWa mechi kama ya jana, if Gerro would surge forward, tungepata bao - my point here ni kwamba GErro should not be prohibited kucheza namba nane kama zamani, he has very good cutting passes, hasa kwa mechi tunazotaitiwa like the one against Villa

BR should experiment more now he has vice captain issue sorted
 

Thank very much mkuu...haya ndo maneno.

Binafsi naona kama baadhi ya new comers bado hawaja blend vzr kwenye timu...afu this season fans tuna demand more than enough bearing in mind achievement za last season.

Mi naona kama timu yetu bado inajengwa...cha msingi tuwemo kwenye top four ili mwakani turudi UCL. But timu hii ni maandalizi ya kubeba ndoo next season...kwa maoni yangu.

YNWA.
 
Chelsea na mbabe wao wa magoli Diego Costa wametoa droo.

Nilisema haya jana mkuu!Liverpool ndiyo team pekee Uingereza kushinda mechi yake ya kwanza!Always mechi ya kwanza CL huwa inatabisha sana hasa kwa team rookies kama YNWA!

Team yetu jana wachezaji 9 walio anza hawajawahi kucheza CL na kama ukichunguza SG na Baloteli tu ndiyo walikuwa wanatumia uzoefu wao na ndiyi walio tupa raha!

Kumuacha SG nje Liverpool hii will be deadly mistake!Chunguzeni
 
Last night's stalemate between Chelsea v Schalke is something Anfield can take a heart from.


However, it shouldn't be about papering over the glaring cracks in our Liverpool's recent performances.

Come on you Reds!
 

Huko sahihi.na kocha mwenywe.ni mgeni sana natumaini furaha ya kuishiriki CL ilitugarimu.
 
ha ha ha yaani LIVERPOOL peke yake ndio kashinda katika timu za england!!!! wapiga domo wamechezea kichapo na drooo....khe khe khe khe khe khe khe khe mimi mtazamaji tu....

cc: Ntuzu agosti 8 rubaman Viol
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha yaani LIVERPOOL peke yake ndio kashinda katika timu za england!!!! wapiga domo wamechezea kichapo na drooo....khe khe khe khe khe khe khe khe mimi mtazamaji tu....

cc: Ntuzu agosti 8 rubaman Viol

Mkuu morinho ni mjanja sana,aliona mbali maana game inayokuja tunacheza na man city,hata hivo game hatujapoteza,pande zote mbili uefa na league hatujapoteza vipi kidonda cha Aston villa juzi limepona??tena nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu morinho ni mjanja sana,aliona mbali maana game inayokuja tunacheza na man city,hata hivo game hatujapoteza,pande zote mbili uefa na league hatujapoteza vipi kidonda cha Aston villa juzi limepona??tena nyumbani


Tunachofanya watakuja kuona matokeo yake baada ya kumpiga Man City! Man utd tumemuacha nyuma points 7 Loserfool points 6! Sasa Man city tutamuacha points 8 weekend hii ili tukae vzr kwa EPL!
 
true

Sterling is also more productive akiwa winger... and if he tries to play sterling and moreno kwa mechi kama tatu hivi tutakua na deadly attacking left side, sterling in the middle inawapoteza strikers kwa sababu anataka sana kufunga
Janjaweed Pale LFC kwa sasa ni wachezaji WAWILI tu wanayoiwezea SANA diamond Formation, Ni RS na DS, ndo maana kwenye Diamond Formation RS huwa anachukua Spot ya PC!!
 
Last edited by a moderator:
Tunachofanya watakuja kuona matokeo yake baada ya kumpiga Man City! Man utd tumemuacha nyuma points 7 Loserfool points 6! Sasa Man city tutamuacha points 8 weekend hii ili tukae vzr kwa EPL!

Huna JIPYA..
 

Lovren acheze katikati???

Kuna watu hawajagundua kitu, na sidhan kama Washaliona HILO..

Me leo nataka nimtetee SAKHO kidogo, Lovren ni beki mzuri sana, lakin PARTNERSHIP yake na Sakho itakuwa ngumu sana kuwork, kwa sababu huwa anamnyima sana nafas SAKHO, yaan anaingia sana kwenye Zone ya SAKHO, (angalia Sakho akicheza na Varane france)..Na kosa kubwa ni kuwachezesha Bek ambao wote ni LCB in nature, LOVREN is tryn so hard to impress the fans (which is good), lakin anakamia sana, ni aina ya beki kama KOMPANY, ambae huwa anataka kuibeba Back-line yote peke yake, lakin anachokosea sasa ni kuingia mpaka kwenye Zone ya Mwenzake, ambapo unakuta Sakho anakuwa kwenye position ngum sana kufanya maamuzi HURU ( hawi comfortable), Kuna jamaa nlikuwa namwambia Partnership ya ILLORI na LOVREN ingebamba sana, Illori ni kama Agger mpya, hana papara, anadrive mpira, Anapiga pass za uhakika, anatuliza presha, Ni AGGER mtupu, Lakin ndo hivyo sjui atakuja kucheza lini pale LFC, manake BR anataka mabek wanaotumia NGUVU tu wote, kitu ambacho kinaicost team, ndo maana ulikuwa unaona last season, partnership ya Agger na Skritel ilileta CLEAN SHEET nyingi kuliko zingine zile, coz MS alikuwa anacheza na Beki anayetumia Akili, and thats how it works aisee, KOMPANY+DEMICHELS, TERRY+CAHILL, KOS+PER, PEPE+RAMOS etc, asa LFC ni NGUVU+NGUVU, LOVREN+SKRITEL, LOVREN+SAKHO, LOVREN+TOURE, SKRITEL+SAKHO, SKRITEL+TOURE, SAKHO+TOURE, patnership hizi pia zitawork tu kama ukiwa na Commanding GK golin, asa nahisi SM huwa anaona Noma kuwakalipia kina LOVREN, coz kama ni keeper unaona kabisa kuwa Lovren anaingia Zone ya Sakho..Anyway Me sahv LOLOTE na LIWE..

Afu kuna MSIBA umeanza kuingia LFC, chunguza tu, katika game zetu 5 tulizocheza msim huu, TUMESHINDA na KUPERFOME kwa HALI YA JUU dhidi ya Spurs BECAUSE ndo match pekee tuliyotimia *DIAMOND FORMATION*, that means, hatuwez kucheza na ST mmoja mbele, so tunahitaj DS au MB kuwa FIT mda wote msim mzima..BR kishajilemaza na ST wawili mbele pale, hata game ya JUZI ilibadilika alipoingia BORIN, coz we switched to 4-4-2, Diamond formation..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…