Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

There's no pace in the team kwa kweli - and that should be our biggest worry.

Ukiachia mechi ya Spurs, nadhani timu nyingi pinzani zimeitafutia dawa ile midfield diamond ambapo Sterling anakaa pale kwenye tip.

Kwa timu hii ya sasa kuwa na pacy player kwenye tip haiwezi kuleta effective results. Inahitajika pia kuwe na marksman ambaye ni more versatile kama alivyokuwa Suarez ambaye alikuwa ana uwezo kui-pull apart opposition defence just by making those ghosting runs without the ball. Suarez hayupo na Balotelli ni (Balotelli).

I don't know. But mimi naona kuendelea kumtumia pacy player kwenye ile tip will no longer work for us. Pace ya mchezo iwe inaanzia nyuma kidogo ya diamond....yaani badala ya kuwa na statically regular diamond iwepo an irregular but dynamic polygon itayomfanya Sterling awe anaanza runs zake deeper kidogo ili kuwa-unsettle holding midfielders na backline ya opposition.

Kingine, BR ajaribu kum-mould na kum-integrate Markovic kama mshambuliaji msumbufu huku akitengeza partnership na Balotelli (au Sturridge atakaporejea). Markovic hana vitu vya Suarez ndiyo, lakini ana certain special dribbling skills ambazo BR akizitumia vizuri impact ya strikeforce itakuwa moto.

It's still early days yes, but plenty to worry about....

true

Sterling is also more productive akiwa winger... and if he tries to play sterling and moreno kwa mechi kama tatu hivi tutakua na deadly attacking left side, sterling in the middle inawapoteza strikers kwa sababu anataka sana kufunga
 
Game sikuicheki ila ndio naangalia angalia highlights na kusoma opinions za watu. Lovren tulitegemea atakuwa mkombozi wetu huku nyuma ila ndio amekuwa matatizo zaidi, ukiangali toka msimu uanze karibu kila mechi tuliyofungwa goli, goli moja kahusika kwa namna moja au nyingine kutokana na uzembe wake.

Kuhusu keeper nadhani BR atakuwa anajuta kwa nini alimuuza Reina. Timu imeshaanza kukatisha tena tamaa, hata ule mzuka wa kusubiri game kila week umeshaanza kupotea.
 
Mimi simlaumu beki yeyote yule,pale hata aje vicent kompany,cahill,hummels etc tutafungwa tuu! Tatizo ni mfumo,na kila siku huwa nasema hapa..defence line yetu haina cover...huo ndo ukweli,weka lovren na hendo pale katikati,gerald weka benchi,beki weka sakho na skirtel..mbele ya lovren na hendo weka allen,lallana,sterling, weka straika mmoja tu pale mbele,either sturidge au baloteli...uone kama tutafungwa kibwege....cc. Janjaweed Pazi MosDef Tores osokonoi Malafyale Mzee Wa Rubisi
 
Last edited by a moderator:

YEssssss

This is the solution and we cant shy away from it... Lovren and Agger could do better holding than Stephen Gerrard, but you cant bench Gerro every match so sometimes ni vizuri kumchezesha rotation na Lovren while Lovren can rotate with Sakho as well

KWa mechi kama ya jana, if Gerro would surge forward, tungepata bao - my point here ni kwamba GErro should not be prohibited kucheza namba nane kama zamani, he has very good cutting passes, hasa kwa mechi tunazotaitiwa like the one against Villa

BR should experiment more now he has vice captain issue sorted
 
Mkuu Gwamahala naona hakuna aliyekujibu kuhusiana na ombi lako la kupata tathmini ya mechi yetu ya jana. Usijisikie vibaya labda kwa kufikiri labda wanaliverpool wenzako tumeku-ignore, hasha! Ingawa timu imeshinda lakini watu wamekuwa disappointed…well binafsi sijawa disappointed ila kila muda unavyokwenda naendelea kukubaliana na dhana nilikuwa nayo toka mwanzo kwamba timu yetu is not a finished puzzle yet.

Ngoja nirudi kwenye mechi ya jana.

Wakati wa interview “That was before the game” Lovren alitaja kwamba kitu muhimu kwa Liverpool ni kufanya vizuri kwenye kundi na kuhakikisha wanashinda mechi ya kwanza (Meaning kuwafunga Ludo). Toka makundi kuwekwa hadharani kumekuwa na nadharia kwamba Ludo is the weakest team in group B. Tulio wengi tumejikuta tukijiaminisha hivyo, even though timu yenyewe hatuifahamu vizuri.

Ukiyasikia maneno ya Lovren wakati wa interview, utapata implication kwamba hata wachezaji walijiaminisha kwamba Ludo ni uchochoro. Matokeo yake ni nini…

Liverpool walionekana kucheza kwa papara kila mmoja akiona anaweza kufunga. Utulivu haukuwepo. Ludo walitambua kiwewe cha Liverpool na wakawa wanacheza kwa tahadhari kubwa. Absorbing and break with pace pale ambapo nafasi ilijitokeza

Defence…Mo & Ma wametuonyesha how modern fb’s should play. And that is why utashangaa kusikia/kuona aliyepiga cros ya goli la kwanza ni Moreno na aliyekosa goli la wazi dk za mwanzo na kusababisha penalt dk za mwisho ni Manquillo. Sijaona makosa mengi kwa Lov ila Sakho bado anajigongagonga

Midfield…nafikiri kwa wale waliyokuwa wanamkandia Allen sasa wanaomba apone haraka. Siju ni lipi kati ya haya ni sahihi. Lallana amewahishwa kucheza kabla hajapona vizuri au cout is trying too much to be more than a magician. Hawa madogo walipoteza mipira sana! Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza ukafikiri goli la Ludo ni makosa ya mabeki pekee, sidhani. Baada ya rahem kunyang’anya mpira, SG was supposed to close down ili assist isifanyake but he didn’t do that. Sakho was out of position and Lovern was far

Forward…433 imeshindwa ku-work out na ninafikiri BR should re-think sababu Mario was isolated kwenye msitu wa mabeki. The good thing ni kwamba work rate yake imeongezeka and time to time you could see him drooping deep to collect the ball. Alipoinga Borini mambo yalibadilika. Mabeki walikuwa wamekariri kumkaba Mario and Fab nearly scored with his first touch. Striker kuwa wawili kulisaidia because now defenders wanapata kazi ya ziada and as result tukapata goli la kuongoza.

Thank very much mkuu...haya ndo maneno.

Binafsi naona kama baadhi ya new comers bado hawaja blend vzr kwenye timu...afu this season fans tuna demand more than enough bearing in mind achievement za last season.

Mi naona kama timu yetu bado inajengwa...cha msingi tuwemo kwenye top four ili mwakani turudi UCL. But timu hii ni maandalizi ya kubeba ndoo next season...kwa maoni yangu.

YNWA.
 
Chelsea na mbabe wao wa magoli Diego Costa wametoa droo.

Nilisema haya jana mkuu!Liverpool ndiyo team pekee Uingereza kushinda mechi yake ya kwanza!Always mechi ya kwanza CL huwa inatabisha sana hasa kwa team rookies kama YNWA!

Team yetu jana wachezaji 9 walio anza hawajawahi kucheza CL na kama ukichunguza SG na Baloteli tu ndiyo walikuwa wanatumia uzoefu wao na ndiyi walio tupa raha!

Kumuacha SG nje Liverpool hii will be deadly mistake!Chunguzeni
 
Last night's stalemate between Chelsea v Schalke is something Anfield can take a heart from.

However, it shouldn't be about papering over the glaring cracks in our Liverpool's recent performances.

Come on you Reds!
 
Nilisema haya jana mkuu!Liverpool ndiyo team pekee Uingereza kushinda mechi yake ya kwanza!Always mechi ya kwanza CL huwa inatabisha sana hasa kwa team rookies kama YNWA!

Team yetu jana wachezaji 9 walio anza hawajawahi kucheza CL na kama ukichunguza SG na Baloteli tu ndiyo walikuwa wanatumia uzoefu wao na ndiyi walio tupa raha!

Kumuacha SG nje Liverpool hii will be deadly mistake!Chunguzeni

Huko sahihi.na kocha mwenywe.ni mgeni sana natumaini furaha ya kuishiriki CL ilitugarimu.
 
ha ha ha yaani LIVERPOOL peke yake ndio kashinda katika timu za england!!!! wapiga domo wamechezea kichapo na drooo....khe khe khe khe khe khe khe khe mimi mtazamaji tu....

cc: Ntuzu agosti 8 rubaman Viol
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha yaani LIVERPOOL peke yake ndio kashinda katika timu za england!!!! wapiga domo wamechezea kichapo na drooo....khe khe khe khe khe khe khe khe mimi mtazamaji tu....

cc: Ntuzu agosti 8 rubaman Viol

Mkuu morinho ni mjanja sana,aliona mbali maana game inayokuja tunacheza na man city,hata hivo game hatujapoteza,pande zote mbili uefa na league hatujapoteza vipi kidonda cha Aston villa juzi limepona??tena nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu morinho ni mjanja sana,aliona mbali maana game inayokuja tunacheza na man city,hata hivo game hatujapoteza,pande zote mbili uefa na league hatujapoteza vipi kidonda cha Aston villa juzi limepona??tena nyumbani

Tunachofanya watakuja kuona matokeo yake baada ya kumpiga Man City! Man utd tumemuacha nyuma points 7 Loserfool points 6! Sasa Man city tutamuacha points 8 weekend hii ili tukae vzr kwa EPL!
 
true

Sterling is also more productive akiwa winger... and if he tries to play sterling and moreno kwa mechi kama tatu hivi tutakua na deadly attacking left side, sterling in the middle inawapoteza strikers kwa sababu anataka sana kufunga
Janjaweed Pale LFC kwa sasa ni wachezaji WAWILI tu wanayoiwezea SANA diamond Formation, Ni RS na DS, ndo maana kwenye Diamond Formation RS huwa anachukua Spot ya PC!!
 
Last edited by a moderator:
Tunachofanya watakuja kuona matokeo yake baada ya kumpiga Man City! Man utd tumemuacha nyuma points 7 Loserfool points 6! Sasa Man city tutamuacha points 8 weekend hii ili tukae vzr kwa EPL!

Huna JIPYA..
 
Mimi simlaumu beki yeyote yule,pale hata aje vicent kompany,cahill,hummels etc tutafungwa tuu! Tatizo ni mfumo,na kila siku huwa nasema hapa..defence line yetu haina cover...huo ndo ukweli,weka lovren na hendo pale katikati,gerald weka benchi,beki weka sakho na skirtel..mbele ya lovren na hendo weka allen,lallana,sterling, weka straika mmoja tu pale mbele,either sturidge au baloteli...uone kama tutafungwa kibwege....cc. Janjaweed Pazi MosDef Tores osokonoi Malafyale Mzee Wa Rubisi

Lovren acheze katikati???

Kuna watu hawajagundua kitu, na sidhan kama Washaliona HILO..

Me leo nataka nimtetee SAKHO kidogo, Lovren ni beki mzuri sana, lakin PARTNERSHIP yake na Sakho itakuwa ngumu sana kuwork, kwa sababu huwa anamnyima sana nafas SAKHO, yaan anaingia sana kwenye Zone ya SAKHO, (angalia Sakho akicheza na Varane france)..Na kosa kubwa ni kuwachezesha Bek ambao wote ni LCB in nature, LOVREN is tryn so hard to impress the fans (which is good), lakin anakamia sana, ni aina ya beki kama KOMPANY, ambae huwa anataka kuibeba Back-line yote peke yake, lakin anachokosea sasa ni kuingia mpaka kwenye Zone ya Mwenzake, ambapo unakuta Sakho anakuwa kwenye position ngum sana kufanya maamuzi HURU ( hawi comfortable), Kuna jamaa nlikuwa namwambia Partnership ya ILLORI na LOVREN ingebamba sana, Illori ni kama Agger mpya, hana papara, anadrive mpira, Anapiga pass za uhakika, anatuliza presha, Ni AGGER mtupu, Lakin ndo hivyo sjui atakuja kucheza lini pale LFC, manake BR anataka mabek wanaotumia NGUVU tu wote, kitu ambacho kinaicost team, ndo maana ulikuwa unaona last season, partnership ya Agger na Skritel ilileta CLEAN SHEET nyingi kuliko zingine zile, coz MS alikuwa anacheza na Beki anayetumia Akili, and thats how it works aisee, KOMPANY+DEMICHELS, TERRY+CAHILL, KOS+PER, PEPE+RAMOS etc, asa LFC ni NGUVU+NGUVU, LOVREN+SKRITEL, LOVREN+SAKHO, LOVREN+TOURE, SKRITEL+SAKHO, SKRITEL+TOURE, SAKHO+TOURE, patnership hizi pia zitawork tu kama ukiwa na Commanding GK golin, asa nahisi SM huwa anaona Noma kuwakalipia kina LOVREN, coz kama ni keeper unaona kabisa kuwa Lovren anaingia Zone ya Sakho..Anyway Me sahv LOLOTE na LIWE..

Afu kuna MSIBA umeanza kuingia LFC, chunguza tu, katika game zetu 5 tulizocheza msim huu, TUMESHINDA na KUPERFOME kwa HALI YA JUU dhidi ya Spurs BECAUSE ndo match pekee tuliyotimia *DIAMOND FORMATION*, that means, hatuwez kucheza na ST mmoja mbele, so tunahitaj DS au MB kuwa FIT mda wote msim mzima..BR kishajilemaza na ST wawili mbele pale, hata game ya JUZI ilibadilika alipoingia BORIN, coz we switched to 4-4-2, Diamond formation..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom