BR ana wkt mgumu sana wadau,the best option kwake ni kumdrop SG,but without Allen,and Can there,it's a disaster,who will play DM? LUCAS mwenyewe ndo kama mnavyomuona...nnachoweza kushauri hapa ndugu zangu,bora tujicondition tu kupata matokeo ya aina hii mara nyingi iwezekanavyo msimu huu,mpk BR atakapopata 1st eleven yake,tutakuwa tushachapwa sana
MosDef wewe ni mtetezi mkuu wa SG humu,tafadhali njoo useme kitu leo kuhsu huyu kepteni wetu...bado anaweza kuhimili mikiki mikiki ya EPL kwa role ile kweli?? DM??
why blaming SG sasa???
Ye ndo anatoa HELA ya kununua wachezaji???
He's just a PLAYER pale LFC, anafanya kaz yake, n' after all hakumuomba BR ampe majukum ya number 6!!!..
Afu nashangaa kila LFC inapopoteza game watu wanamlaumu SG, ili tu kucover utumbo wa Baba yao BR, kocha mpaka sahv hajui what's best side kwenye team!..Tatzo la LFC ni CB's lakin ndo hvyo kila siku anatoa kwa mkopo Mabeki..huyo BR leo si alichange formation na kuanza kucheza na mabek wa3 nyuma??..unategemea nn sasa hapo?..utamlaum SG???
na huwa tunaongea kila sku midfield partnership ya SG na LUCAS haijawah kuwork out chini ya BR, so why forcing it?? hapo napo utamlaum SG??
Rejecting Remy over Borin (na hili niliongea sana humu, we ndo ukawa wa kwanza kunambia nalalamika sana), Borin hawez kukusaidia hata kidogo uwanjan!!! hilo nalo unamlaumu SG??
Our back line is SHIT, our GK is SHIT, Lovren, Sakho wote wanaicost team, Team haina Defensive coach, akina Morgan wanafanya kaz gan kama tu GK kila siku anarudia makosa yale yale??..kuna haja ya kuwa na kocha wa makeeper??, CB's wa LfC hawajasettle na nilishaliongelea hilo hapa, Ukimtoa SG kwenye DM, utamchezesha nan?? hilo nalo ni kosa la SG??
SG atafanya nn kama Back line ni mbovu??..ina maana ye ndo awe anablock mipira yote isiwe inafika golini??? ye ni YESU?? kwahyo aspoblock hyo mipira ndo iende moja kwa moja golini?? hakuna CB's wa kuzuia?? mpaka sasa stats zinaonyesha LOVREN kafanya individual errors 3 ambazo zimeicost LFC, hilo nalo ni kosa la SG??
DM hata awe mzuri vipi, CB wake wakiwa wabovu inakuwa kazi bure, Gustavo alifanya nn Na Brazil yake WC??, Spurs last season walifanya nn na kina Capoue na Dembele??, Southampton ingekuwa inaongoza league basi, maana ina kina schenederin, Everton alipigwa ngap na Chelsea?? si ana kina Barry na McArthur??..Man city played with Fernandinho and lampard katikat against Arsenal last week, but Arsenal wakaambulia Draw tu, Man city wana Backline nzuri..
Beki ya LFC ni mbovu, Hata aje Javi Martinez hatosaidia chochote, as long as backline ikiwa vile, manake anatakiwa afanye kaz ya ziada kublock mipira kibao, manake mpira ukimpita tu ni goal..hakuna beki ya maana LFC, hakuna beki ya maan hata kidogo, na hyo bek itazid kuonekana mbovu as long as mignolet atakuwepo golini..
Kocha unaifundisha LFC lakin mpaka sasa hujajua whats your best 11..Kwann usiendelee bas na team ile ile ya last season??..kasoro LB, RB na ST??
Afu kila kukicha ni kubadilisha Formations tu, kwann usistick na Formation moja tu??? hilo nalo kosa la SG??
Last season tulkuwa tunasema LFC unahitaj options katika wings, akanunuliwa LAZAR, lakin ndo hivyo anakula mkeka tu, sub ni lambert, atakusaidia nn Lambert??..hilo nalo ni kosa la SG??
Unahitaji kocha wa kuipanga defense, na kama tungekuwa na kocha wa defense imara, sidhan kama angeruhusu kati ya Agger, coates au Illori kuondoka..kwanza huo uzoefu anaotakiwa kuupata illori ni wa hadi lini???
kwann ung'ang'anie mibeki ambayo inatumia akili kidogo sana katika kukaba???