Mkuu na wenzako tunawahitaji hapa mtupe challenge!
Lkn kumbuka mwaka huu nakupiga kote kuwili
Mi nawashangaa sn mnapojificha ktk historia Mara sijui timu yenu kubwa Mara sijui nini, tuongelee mambo ya muda Huu! Kwasababu ata km mnashikiria historia sasaivi Mnashindwa nini kufanya mambo Pamoja na historia yenu nzuri? Kubalini mabadiliko, msiwe km Chama dume CCM.
Tunastahili heshima kutoka kwa vitimu vidogo kama chelsea ambavyo ndo vinaibuka saivi,ni hilo tu! Ukitaka kujua LFC sio Level yenu,angalia fan base yake wkt wa pre-seasons! Kinachotukera sisi,ni nyie kuanza kutengeneza upinzani,utani,sijui ujirani na sisi,wkt nyie kwetu ni kama Leeds utd tu.
Teh Teh Teh Teh
Unaona sasa hoja zako, eti mnajivunia mafans wengi huku ukiibeza Chelsea ambayo iko nafasi ya 4 wewe 32 ktk uefa ranking na wakati huo huo Msimu uliopita nimekufunga Mara mbili ata km unibeze vp bado timu yako kufurukuta mbele yangu huwezi!
Subiri na msimu Huu uone moto!
Mkuu punguza ukali wa maneno na tusiogope challenges bali tuzikabili!Tunapokuwa na watu kama Viol au Bulldog na chalkenges zao wanatukomaza!
Nina imani kabisa kuwa watu kama Ntuzu au agosti 8 wanatutembelea hapa kwa nia nzuri tu ya kimichezo na hamna haja ya kugombana nao!
Tusipende kusikia na kuchekelea vitu vizuri tu kuhusu team yetu bali hata negativity tuzikubali
Chelsea mmetangulia na baiskeli ya miti
Aiseee Ebu tafuta Habari za ranking za timu za Ulaya uone km hichi ulichoandika kiko sahihi!
Chelsea inakamata nafasi 4 na Liverpool iko nafasi ya 32 tena imepitwa na spurs! Spurs wako nafasi ya 19 sasa sijui unaongea nini?
Mmebakiza historia tu lkn timu yenu haina lolote!
Hiyo ranking uloipanga wewe au? Umeambiwa 'greatest clubs of all time' wewe umekimbilia hiyo ya 2014,kwanini? Anyway...unaweza kuamua tu kudhani Chelsi ni timu kubwa,siwezi kukuzuia kuamini hivyo!
Teh Teh Teh Teh
Unaona sasa hoja zako, eti mnajivunia mafans wengi huku ukiibeza Chelsea ambayo iko nafasi ya 4 wewe 32 ktk uefa ranking na wakati huo huo Msimu uliopita nimekufunga Mara mbili ata km unibeze vp bado timu yako kufurukuta mbele yangu huwezi!
Subiri na msimu Huu uone moto!
Tunastahili heshima kutoka kwa vitimu vidogo kama chelsea ambavyo ndo vinaibuka saivi,ni hilo tu! Ukitaka kujua LFC sio Level yenu,angalia fan base yake wkt wa pre-seasons! Kinachotukera sisi,ni nyie kuanza kutengeneza upinzani,utani,sijui ujirani na sisi,wkt nyie kwetu ni kama Leeds utd tu.
unaelewa maana ya "all time rankings"?????
Kwenye all time rankings utakuwaje wa 4??? mbele ya Ac milan, juventus, benifica etc ambao wana mafanikio kwenye ngazi ya europe kuliko wewe??!
Mbona hujui kureason we jamaa???
umeanza kushabikia mpira lini???
Teh Teh Teh Teh
Unaona sasa hoja zako, eti mnajivunia mafans wengi huku ukiibeza Chelsea ambayo iko nafasi ya 4 wewe 32 ktk uefa ranking na wakati huo huo Msimu uliopita nimekufunga Mara mbili ata km unibeze vp bado timu yako kufurukuta mbele yangu huwezi!
Subiri na msimu Huu uone moto!
weka hiyo source yako hapa inayosema kuwa liverpool ina fan base kubwa kuliko chelsea..
weka hiyo source yako hapa inayosema kuwa liverpool ina fan base kubwa kuliko chelsea..
Hahahaaaaa mkuu nafsi yako inafahamu vzr kabisa kwamba kuifunga Chelsea ipo kz!
Mlikua mnafurukuta wakati wa Rafa Benitez Lkn Sio Kwa hawa makocha wasiokua na plan!
We dont need to give away stupid plastic flags to our fans to wave, our supporters are always there with their hearts and that is all we need. Its the passion of the fans that helps us to win matches, not flags. Chelsea fans lack passion Rafael Benitez