Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu na wenzako tunawahitaji hapa mtupe challenge!

Lkn kumbuka mwaka huu nakupiga kote kuwili

Hahahaaaaa mkuu nafsi yako inafahamu vzr kabisa kwamba kuifunga Chelsea ipo kz!

Mlikua mnafurukuta wakati wa Rafa Benitez Lkn Sio Kwa hawa makocha wasiokua na plan!
 
Mi nawashangaa sn mnapojificha ktk historia Mara sijui timu yenu kubwa Mara sijui nini, tuongelee mambo ya muda Huu! Kwasababu ata km mnashikiria historia sasaivi Mnashindwa nini kufanya mambo Pamoja na historia yenu nzuri? Kubalini mabadiliko, msiwe km Chama dume CCM.

Tunastahili heshima kutoka kwa vitimu vidogo kama chelsea ambavyo ndo vinaibuka saivi,ni hilo tu! Ukitaka kujua LFC sio Level yenu,angalia fan base yake wkt wa pre-seasons! Kinachotukera sisi,ni nyie kuanza kutengeneza upinzani,utani,sijui ujirani na sisi,wkt nyie kwetu ni kama Leeds utd tu.
 
Teh Teh Teh Teh

Unaona sasa hoja zako, eti mnajivunia mafans wengi huku ukiibeza Chelsea ambayo iko nafasi ya 4 wewe 32 ktk uefa ranking na wakati huo huo Msimu uliopita nimekufunga Mara mbili ata km unibeze vp bado timu yako kufurukuta mbele yangu huwezi!

Subiri na msimu Huu uone moto!
 
Nimeamua kukupotezea
 
Mkuu punguza ukali wa maneno na tusiogope challenges bali tuzikabili!Tunapokuwa na watu kama Viol au Bulldog na chalkenges zao wanatukomaza!

Nina imani kabisa kuwa watu kama Ntuzu au agosti 8 wanatutembelea hapa kwa nia nzuri tu ya kimichezo na hamna haja ya kugombana nao!

Tusipende kusikia na kuchekelea vitu vizuri tu kuhusu team yetu bali hata negativity tuzikubali

Chelsea mmetangulia na baiskeli ya miti

Mwambie Chelsea kwanza ni kama Aston Villa, hawawezi kuifika Liverpool kimafanikio
 
Aiseee Ebu tafuta Habari za ranking za timu za Ulaya uone km hichi ulichoandika kiko sahihi!

Chelsea inakamata nafasi 4 na Liverpool iko nafasi ya 32 tena imepitwa na spurs! Spurs wako nafasi ya 19 sasa sijui unaongea nini?

Mmebakiza historia tu lkn timu yenu haina lolote!

hahahahhahahahahahaha!

uliza kwanza, what does it mean by "UEFA all time football clubs ranking" syo unakurupuka tu!

Hujui chochote!

and for the record, nan kishawah kuizungumzia chelsea humu ndan???

For the past 2 weeks, humu ndan mijadala imekuwa ni kuhusu wale wanaO-Msaport BR na ambao hawa-Msupport BR..

so a shitty team kama Chelsea itaingiaje kwenye mjadala kama huo???
 
Hiyo ranking uloipanga wewe au? Umeambiwa 'greatest clubs of all time' wewe umekimbilia hiyo ya 2014,kwanini? Anyway...unaweza kuamua tu kudhani Chelsi ni timu kubwa,siwezi kukuzuia kuamini hivyo!

huyo jamaa, hajui mpira na haijui hata club yake vizuri..

kama Malafyale unataka chalenji, mtafute agosti8 tu huyo ndo anaielewa team yake vizuri..

Lakin siyo huyo jamaa, hajui kureason, na yote hiyo ni kwasababu ana ushabiki wa kitoto tu!!!

Anaboa sana!
 
Last edited by a moderator:
Liverpool_Joke.jpg
 
Teh Teh Teh Teh

Unaona sasa hoja zako, eti mnajivunia mafans wengi huku ukiibeza Chelsea ambayo iko nafasi ya 4 wewe 32 ktk uefa ranking na wakati huo huo Msimu uliopita nimekufunga Mara mbili ata km unibeze vp bado timu yako kufurukuta mbele yangu huwezi!

Subiri na msimu Huu uone moto!

unaelewa maana ya "all time rankings"?????

Kwenye all time rankings utakuwaje wa 4??? mbele ya Ac milan, juventus, benifica etc ambao wana mafanikio kwenye ngazi ya europe kuliko wewe??!

Mbona hujui kureason we jamaa???

umeanza kushabikia mpira lini???
 
Chelsea kamwe hamuwezi kujilinganisha na liverpool. naona mnabwabwaja tu tokea jana.......nyinyi subirini tu mwaka huu tutawapiga nje ndani..........mark my words.
 
Tunastahili heshima kutoka kwa vitimu vidogo kama chelsea ambavyo ndo vinaibuka saivi,ni hilo tu! Ukitaka kujua LFC sio Level yenu,angalia fan base yake wkt wa pre-seasons! Kinachotukera sisi,ni nyie kuanza kutengeneza upinzani,utani,sijui ujirani na sisi,wkt nyie kwetu ni kama Leeds utd tu.

weka hiyo source yako hapa inayosema kuwa liverpool ina fan base kubwa kuliko chelsea..
 
unaelewa maana ya "all time rankings"?????

Kwenye all time rankings utakuwaje wa 4??? mbele ya Ac milan, juventus, benifica etc ambao wana mafanikio kwenye ngazi ya europe kuliko wewe??!

Mbona hujui kureason we jamaa???

umeanza kushabikia mpira lini???

Nachokukubali mkuu ni moyo wako wa kizalendo wa kubishana na watoto wachanga.....

Hapa wanaweza wakaipambanisha Simba na Mtibwa Sugar kwa kuwa tu kwa sasa mtibwa inaongoza ligi na miaka miwili iliyopita Simba haijatwaa kombe.

Ni uvivu na ukosefu wa adabu kuilinganisha LFC na Chelsick kwenye mafanikio na historia ya soka....
 
Teh Teh Teh Teh

Unaona sasa hoja zako, eti mnajivunia mafans wengi huku ukiibeza Chelsea ambayo iko nafasi ya 4 wewe 32 ktk uefa ranking na wakati huo huo Msimu uliopita nimekufunga Mara mbili ata km unibeze vp bado timu yako kufurukuta mbele yangu huwezi!

Subiri na msimu Huu uone moto!

Hahahahah mpaka nimekuonea aibu.... eti umesemaje?
 
Hahahaaaaa mkuu nafsi yako inafahamu vzr kabisa kwamba kuifunga Chelsea ipo kz!

Mlikua mnafurukuta wakati wa Rafa Benitez Lkn Sio Kwa hawa makocha wasiokua na plan!

“We don’t need to give away stupid plastic flags to our fans to wave, our supporters are always there with their hearts and that is all we need. It’s the passion of the fans that helps us to win matches, not flags. Chelsea fans lack passion” – Rafael Benitez
 
cc.plastic fans wote wa chelsky
 
Back
Top Bottom