Balo asikae nje mkuu!!Huyu anahitaji bao moja tu la ligi ili arudishe confo yake!Balo is too young only 24 yrs kwa hiyo atatusaidia kwa miaka mingi kama tukimuivisha!!
Pamoja na ya Everton, ku draw dakika za mwisho.good one, I think game na villa ndio imetucost zaidi... tungekua na points zilezile, na mwaka huu sio mbaya hasa ukizingatia ni chelsea na citeh tu wanaocheza vizuri, we seriously need to consider Higuain au Bony to replace balo and pray for a fully fit sturridge
Wanasema:-We do not need to panic!Liverpool will be OK na Baloteli ataanza kufunga tu!Suarez mwenyewe mwaka wa kwanza ali struggle labda mmeisha sahau hii!
Baloteli ana pressure kwa sasa kikubwa ñi kuendelea tu kumpa game na atakuwa OK!
Team ya kuilia timing ni Chelsea tu hizi zingine afadhali sisi!Wana KOPS wenzangu tushikamane naona nuru kubwa mbele yetu
Da nimeangalia replay ya game ya qpr vs lfc........nikaona kitu fulani kwakweli kimenisikitisha.....sijui nini kimemkuta Super Balo45? Tension? Sijui luck of confidence?....unawezaje kukosa goli kwenye mazingira haya???
Dah yaani dakika 14 anatumia kumsihi asifanye ujinga, dakika ya 46 yeye tayari anapata red card
Aiseee nimecheka sn....! Balo kiboko.....!
A comedy book of 200 pages for Mario, hahah!
Dah yaani dakika 14 anatumia kumsihi asifanye ujinga, dakika ya 46 yeye tayari anapata red card
Naitafuta hiyo game ilivyokuwa nione Mourinho ali react vipi, Balo kwa sasa katulia kwa sababu yupo kwenye form mbovu, mechi zikianza kumkubali ataanza tu fujo zake.Hahaaaa Mourinho.......
Naitafuta hiyo game ilivyokuwa nione Mourinho ali react vipi, Balo kwa sasa katulia kwa sababu yupo kwenye form mbovu, mechi zikianza kumkubali ataanza tu fujo zake.
Jamie Carragher's starting XI against Madrid
- Mignolet
- Johnson
- Moreno
- Skrtel
- Lovren
- Gerrard
- Lallana
- Allen
- Henderson
- Coutinho
- Sterling
- Liverpool v Real Madrid: Drop Mario Balotelli, says Jamie Carragher | Football News | Sky Sports
- Janjaweed naona mawazo yenu na Jamie kama yapo sawa, ila mmepishana kwa Lovren.
tumepishana na carra sehemu moja tu, ya Lovren, i think Lovren is very nervous na ataharibu hii mechi, wangempa mibange Sakho, he is the man for big stages
tumepishana na carra sehemu moja tu, ya Lovren, i think Lovren is very nervous na ataharibu hii mechi, wangempa mibange Sakho, he is the man for big stages
Suarez, game ya kwanza tu akitokea sub alitia kamba pale Anfield...msimu wake wa kwanza alitia kamba 18 golini..na Daglish alikuwa anamchezesha nyuma ya Caroll, yaan caroll ndo alikuwa namba 9..diaz alikuwa anacheza 10...