Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Balo asikae nje mkuu!!Huyu anahitaji bao moja tu la ligi ili arudishe confo yake!Balo is too young only 24 yrs kwa hiyo atatusaidia kwa miaka mingi kama tukimuivisha!!

dont think of balo alone, think about the team... he is not fitting

angalia wenzake wanavyosimama akiwa na mpira... they cant read him..

check move ya magoli ya liverpool vs QPR... sterling, glen, sg and coutinho walikua wanasomana vizuri
 
good one, I think game na villa ndio imetucost zaidi... tungekua na points zilezile, na mwaka huu sio mbaya hasa ukizingatia ni chelsea na citeh tu wanaocheza vizuri, we seriously need to consider Higuain au Bony to replace balo and pray for a fully fit sturridge
Pamoja na ya Everton, ku draw dakika za mwisho.
 
We do not need to panic!Liverpool will be OK na Baloteli ataanza kufunga tu!Suarez mwenyewe mwaka wa kwanza ali struggle labda mmeisha sahau hii!

Baloteli ana pressure kwa sasa kikubwa ñi kuendelea tu kumpa game na atakuwa OK!

Team ya kuilia timing ni Chelsea tu hizi zingine afadhali sisi!Wana KOPS wenzangu tushikamane naona nuru kubwa mbele yetu
Wanasema:-
"Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them" Hii aisome Ian Ayre na John Henry.
"insanity is to keep doing the same thing and expecting different results" Hii aisome BR na benchi lake lote la ufundi.
 
Da nimeangalia replay ya game ya qpr vs lfc........nikaona kitu fulani kwakweli kimenisikitisha.....sijui nini kimemkuta Super Balo45? Tension? Sijui luck of confidence?....unawezaje kukosa goli kwenye mazingira haya???
 

Attachments

  • 1413869758707.jpg
    1413869758707.jpg
    15 KB · Views: 164
Da nimeangalia replay ya game ya qpr vs lfc........nikaona kitu fulani kwakweli kimenisikitisha.....sijui nini kimemkuta Super Balo45? Tension? Sijui luck of confidence?....unawezaje kukosa goli kwenye mazingira haya???
 
Last edited by a moderator:
Dah yaani dakika 14 anatumia kumsihi asifanye ujinga, dakika ya 46 yeye tayari anapata red card
 
Aiseee nimecheka sn....! Balo kiboko.....!

A comedy book of 200 pages for Mario, hahah!

Dah yaani dakika 14 anatumia kumsihi asifanye ujinga, dakika ya 46 yeye tayari anapata red card

Hahaaaa Mourinho.......
Naitafuta hiyo game ilivyokuwa nione Mourinho ali react vipi, Balo kwa sasa katulia kwa sababu yupo kwenye form mbovu, mechi zikianza kumkubali ataanza tu fujo zake.
 
Naitafuta hiyo game ilivyokuwa nione Mourinho ali react vipi, Balo kwa sasa katulia kwa sababu yupo kwenye form mbovu, mechi zikianza kumkubali ataanza tu fujo zake.



Itafute mkuu...! Mourinho ameitaja hiyo mechi.

Na Balo asipokua makini LFC Ndio itakua timu yake kubwa ya mwisho kuichezea..!
 
tumepishana na carra sehemu moja tu, ya Lovren, i think Lovren is very nervous na ataharibu hii mechi, wangempa mibange Sakho, he is the man for big stages

Sakho sidhan kama yupo fit kisaikolojia, manake kocha wake hamuamini kabisa..so unafikiri naye atajiamini???

Sakho akiwa na France huwa anakuwa the best LCB kwenye kila mechi anayocheza akiwa na jezi ya Taifa lake...na Anamweka bench Koshienly wa Arsenal (One of the best CB's in EPL) kwenye kikos kile cha France...ni yeye na Varane ndo wanaanza!!

Asa akija LFC huku...anakuwa anacheza kwa mchecheto sana! coz haaminiwi na kocha wake..na hicho kitu huwa kinamuumiza sana Mchezaji yoyote yule na kupelekea acheze kwa presha sana!!!..

Lovren itamchukua mda saaana kusettle coz anajaribu so hard kuimpress the fans, ndo maana sishangai game zikiishaga huwa anakimbilia twitter na kuulza mafans "perfomance yangu ilikuwaje leo?"..atulie acheze mpira...

The only way ya kumchezesha RS katika false 9 ni kumdrop Balo, ili uweze kuwaacomodate Allen, PC, lallana, henderson na SG, bcoz ukitaka kucheza na Mario as Number 9 lazma kati ya Allen/lallana/PC atolewe sadaka, coz lazima Raheem acheze...na stotaka kumdrop Allen/PC kwa form zao za sasa!!!

But BR ataweza kumuacha Bench MB kesho???
 
mi naona balo hawezi on his own hivyo kwa sasa apumzike tu awe anaingia last 15 minutes tutafute false number 9 na pia kila mtu uwanjani awe na uwezo wa kufunga hivi ndo ilikua chelsea ya mwaka jana kwa kujua wana striking force mbovu basi kila mtu akawa na mamlaka ya kufunga
 
Wewe si mkweli. Wakati Suarez amekuja karibu nusu msimu toka msimu kuanza Carrol alikuwa majeruhi aliyotoka nayo Newcastle Utd.
 
Suarez, game ya kwanza tu akitokea sub alitia kamba pale Anfield...msimu wake wa kwanza alitia kamba 18 golini..na Daglish alikuwa anamchezesha nyuma ya Caroll, yaan caroll ndo alikuwa namba 9..diaz alikuwa anacheza 10...

Hii si kweli. Suarez na Carol walisajiliwa msimu mmoja. Na msimu huo Carrol alikuja akiwa majeruhi kwa karibia nusu ya msimu.
 
Back
Top Bottom