Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Maisha yake yote yule mwehu asivhezeshe mechi yetu yoyote

Ingekiwa tz Busokelo huku Mwakaleli
Tungemlamba na mawe🤣
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unamkacha dokta haha utulie ujue Matip anakusoma hapa atatnune auze mechi tena jpili [emoji1][emoji1]

YNWA
Matip sina hamu naye
Mahaba machache yalikokuwa yamesalia nayo yameisha.

Alikuwa anakimbilia wapi jamani,, kuharakisha kupiga mpira ona tukajifunga kizembe aisee.

Kwanza auzwe tu.
 
Muda wa kupanda juu ndio huu sasa
 
Nunez mnyama haha na bado yumooo sanaaaaa....

Captain Chaos jpili anakwenda kukiwasha Falmer Stadium... Cha muhimu pointi 3

YNWA
 
Matip sina hamu naye
Mahaba machache yalikokuwa yamesalia nayo yameisha.

Alikuwa anakimbilia wapi jamani,, kuharakisha kupiga mpira ona tukajifunga kizembe aisee.

Kwanza auzwe tu.
Huyo huyo Matip aliye jifunga bila yeye tungepigwa goli nyingi sana et saiv unamsema hata yale marudio uliyo yaangalia hayakukusaidia chochote Miss.
 
Huyo huyo Matip aliye jifunga bila yeye tungepigwa goli nyingi sana et saiv unamsema hata yale marudio uliyo yaangalia hayakukusaidia chochote Miss.
Siyo lazima tulingane mtazamo.

Pengine angecheza mwingine nafasi yake angekaba hivyohivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…