Nitafute na mimi huko kazi ya kujenga madarajaHakuna kulala mdogo wangu
Tunapambana na maisha kwanza umri ukiwa bado unaruhusu
Nitafute na mimi huko kazi ya kujenga madaraja
Niwajengee wale Marasta Chelshit daraja jipya.
Tayari hukoIla Brighton anawajulia sana kuwatia bakora another L loading.......
Game bado mbichi hiiIla Brighton anawajulia sana kuwatia bakora another L loading.......
Jifunze kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo. Punguza mihemko.
Anakaa anaongea ongea tu, wa kuibeza timu alafu anakuja kushangilia. Huyo huyo Macallister ametusaidia mangapi?Jifunze kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo. Punguza mihemko.