Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kabisa. Hata hawa FSG waki twist kidogo tu kwa Klopp atasumbua
 

Huyu na Nunez naamini watakiwasha sana. Ni vile tu Klopp bado hajamuamini sana Graven ila he deserves 1st eleven.

Namkubali sana Graven magoli na assits zipo mguuni sana.

Hapa timu ipate mchanganyo we are going to have a joy season with less pressure.

Our front men all can deliver. Bado DM tu hapo kwanza
 
Dah hapa kwa Nunez sijashawishika kabisa
 
Inaogopesha kweli kweli. Klopp ana struggle kwa kuondoka Fabinho. Nafikiri setups zake na strategies zake zilimuweka Fabinho as his man in the middle of the park.
Fabinho surprised Klopp aisee but nwa tetesi ni kwamba Klopp never "liked" th boy especially when he had a rough ride kikosini and i stand with Fabinho on this better kwanza alale dalaz hukooo
Sasa kazi kwa Klopp naona ni kama ame chill akisubiri January ampate Andre aafu kikosi sasa kitakua kamili.. Andre is a modern DM more like Rodri breaking lines n being in th right place at th right time....

Come January come Andre... Arsenal though wapo kwenye mix ya huyu dogo mapema sana Klopp amalize hii dili.

YNWA
 
Nyie sasa ndo mnaishi kwa kucopy
.kwamba Nuniez atakuja kuwa kama Salah[emoji23].

Wamecheza na timu ya mabishoo akina Neymar.
 

Kabisa tukamilishe deal mapema sana, ni Β£19M tu ni nafasi kwetu hii maana we have initial negotiation haitakuwa kazi ngumu. Plus Andre likes to wear Liverbird logo deal litarahisika kwa staili hiyo.

Few DM in the industry currently. Kumpata mtu kama Andre kwa price hiyo sio kitu cha kujiuliza mara mbili mbili, na hawezi kuwa na pressure kubwa hata aki flop its a cheap price.
 
Nyie sasa ndo mnaishi kwa kucopy
.kwamba Nuniez atakuja kuwa kama Salah[emoji23].

Wamecheza na timu ya mabishoo akina Neymar.

Dah.!! Ujue kuna vile mtu asipokukubali inabaki hivyo mara nyingi.

Nunez kafunga
Vs City
Vs Madrid
Vs Utd
Vs Newcastle

Huko nako mabisho??

Nunez piga kazi watakukubali tu hata kwa shingo la kupinda hasa huyu #SAINT ANNE
 
Dah.!! Ujue kuna vile mtu asipokukubali inabaki hivyo mara nyingi.

Nunez kafunga
Vs City
Vs Madrid
Vs Utd
Vs Newcastle

Huko nako mabisho??

Nunez piga kazi watakukubali tu hata kwa shingo la kupinda hasa huyu #SAINT ANNE
Sisi hatusemi kama ni mbaya.

Ni mzuri, hata mwaka jana WC alifanya vizuri kwenye timu yake ya taifa.

Ila ni kwamba atafanana na Salah hapana, hapa mmetupiga.
 
Usimlinganishe Salah na vitu vya ajabu[emoji1787]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ U r sworn Nunez critik haijalishi acheze vipi na dakika ngap wwe umo kumdiss unless unasahau hata huyo Salah kuna wakati humu almost aliboa sana kwa ule uselfishness wake kiasi Mane alichukia live bila chenga lakini Klopp hakuwai kumtia benchi mbali muda wote akiwa mzima ni wa kupangwa na hilo lilichangia dogo Mo kua na consistency ya kufunga ama kutengeza magoli kwa wengine na hilo ndio binafsi nataka nione kwa Nunez akipewa dakika za kutosha uwanjani 1st 11 sio hizi patches...
Huyo Halaand hata asipofunga hutakaa umuone benchi yeye yumo kwa kua Kipara ana imani ila kwa Klopp ni vice versa yeye ana watu wake anaowaamini lazima wawe 1st 11 regardless wana form ipi wao wamoo tu 1st 11....yalimkuta Fabinho alivyotua Liverpool na pia Robertson yalimkuta pia hivyo dogo Nunez ajitume tu hakuna namna japo kwa strika dakia nyingi uwanjani ndio chance nyingi za magoli hana jinsi hizo hizo dakika anazopata kitaeleweka.

YNWA
 
Uwepo wa Edu pale Arsenal kumhitaji huyu dogo kunaweza kuharibu mambo aisee lakini nina imani kwa kua dogo alishapewa dodoo za kumhitajika kutua Liverpool.... Itakua combination ya nguvu sana Dominic Andre Gravenberch...

Ni suala la muda kwa kua klabu yake ndio walihitaji huu usajili usongezwe mbele na Liverpool wakasema poa.

YNWA
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚Pale hakuna Gunners ya 03/04 sio rahisi tena aisee ligi ushindani upo next level na pia mechi zimekua nyingi balaa na rate ya majeruhi is next to none...
Manchester City advantage ya upana wa kikosi unambeba sana aisee tazama hawapo KDB na Grealish lakini flow ya mpira na idea za Kipara zinakua well worked out haijalisha kama wanashinda lakini the identity is there to see press make the field as small as possible n attack in numbers defend in numbers that th concept ya Kipara na hana uoga to speak his mind mchezaji akipoteana lakini kwa Klopp yeye muda wote anabemba lawama yeye na hana ujasiri kujaribu na wachezaji wapya anaonunua baadhi inawachukua almost msimu mzima au zaid kua incorporated kwenye 1st 11...na hii inachangia by th time tufike February wachezaji wanakua hoi bin tabaan na hapo ndio sare ama vipigo vinaanza na kumpa nafasi Kipara kufanya yake...

Kumpidua Kipara we need luck with injuries pia.

We are one player away yaaani akitua tu a proper DM pale then we are sorted to go after whoever is in front...

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…