Hivi alikuwa mchoyo au sisi mashabiki ndo tulikuwa tunataka amu assist MANE kwasababu tu za ubaguzi wetu? Maana kama alikuwa anaongoza kwa assist Uchoyo uko wapi?Sio kwamba uchoyo kapunguza, yaani kaacha uchoyo kabisaaaa [emoji1787][emoji1787]
π π π π π Hahaha mpaka pale utakua na imani nae ndio napoa...Kazi tunayoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Bobby kwani huyu mtoto alikupa Nini.?
Hao ma HB wa kwako mie nakomaa na wagumu camp ambao wanafunga magoli magumu magumu sana sio easy anglesππππKwahiyo leo Gakpo humuoni kabisa kama amescore piaπ€£π€£π€£π€£
Afadhali Mkuu umeongea.Hivi alikuwa mchoyo au sisi mashabiki ndo tulikuwa tunataka amu assist MANE kwasababu tu za ubaguzi wetu? Maana kama alikuwa anaongoza kwa assist Uchoyo uko wapi?
Sisi akifunga tunafurahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hahaha mpaka pale utakua na imani nae ndio napoa...
Kukazima phewwwwww ulitegemea hatofunga haha... Gori maridadi..
YNWA
WeeHao ma HB wa kwako mie nakomaa na wagumu camp ambao wanafunga magoli magumu magumu sana sio easy angles[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Hata sijaicheck hii mechi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2800959
Say that again miss Liverpool... Soma ubao wa magoli 1 kwa 2 [emoji91][emoji91]
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You Will Never Walk Alone [emoji445]
View attachment 2800952
Piga kazi Captain Chaos tuna imani na wewe na mishe tunaziona... Achana na kelele za Miss Liverpool atakwelewa tu.
YNWA
Tunayo kazi leo[emoji1787]
Mimi binafsi yangu Nuniez ni mtu wa mwisho kumwamini pale mbeleππ π π π π Hahaha mpaka pale utakua na imani nae ndio napoa...
Kukazima phewwwwww ulitegemea hatofunga haha... Gori maridadi..
YNWA
Kama soon talisman atakua super Captain Chaos then like for like Salah is not needed as such kwa kua mfumo wenyewe utakua tofauti a bit..
YNWA
May Klopp and the Yankees react.
YNWA
That means quality vs quantity.. Ni kweli depth imeongezeka kwamba sio tena timu ya mchezaji yule na huyu mbali ni collective contribution kwa kwenda mbele.. Hawa academy kids being given trials in real games nayo ni next level is kupunguza risk za injuries and saving energy season is still raw..
To increase quality ready made addition lazima kwa 1 CB na 1 DM.. Bajectic might take ages to get back to his level.. Endo seems like a wild card..
YNWA
Klopp must get this Samba boy at any cost... Kuchelewa akasepa kwingine itakua kosa kubwa. Kind of Enzo mistake aliyofanya Klopp, when talent is spotted with that price tag best idea wrap th deal
YNWA