Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

You Will Never Walk Alone 🎶
Screenshot_20231102_084251.jpg

Piga kazi Captain Chaos tuna imani na wewe na mishe tunaziona... Achana na kelele za Miss Liverpool atakwelewa tu.

YNWA
 
Hivi alikuwa mchoyo au sisi mashabiki ndo tulikuwa tunataka amu assist MANE kwasababu tu za ubaguzi wetu? Maana kama alikuwa anaongoza kwa assist Uchoyo uko wapi?
Afadhali Mkuu umeongea.

Walitaka atoe assist hata kama anaona mpira utakwenda kupotea .


Asipotoa assist,akapiga chenga akafunga tunasema Salah ni mwamba sana.

Akipiga bahati mbaya asifunge,tunasema Salah mchoyo.

Hata Mane mwenyewe mbona kuna muda huwa anakuwa mchoyo,anataka afunge yeye..yaani ukiconcentrate kumuangalia mtu mmoja mwanzo mwisho,lazima utafika point utamuona kama mchoyo
Kiufupi uchoyo pale mbele ni unkwepable[emoji23] inevitable,hauepukiki.

Kuna muda Salah alishafyatuka yupo mbele sana,anapiga pass kwenda upande mwingine,unashangaa wale wenzie bado hata hawajafika,,mpira unawazidi speed na hatimaye unapotea.


Akisema aendelee kupiga nao chenga na kujaribu kufunga ,akiwa anawasubiri wengine wasogee ndio hayo unasikia eti Salah mchoyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hahaha mpaka pale utakua na imani nae ndio napoa...

Kukazima phewwwwww ulitegemea hatofunga haha... Gori maridadi..

YNWA
Sisi akifunga tunafurahi
Furaha yetu ni ushindi

Ila sasa hatuachi kukasema kanspokuwa na mapepe na kukosa magoli ya wazi [emoji1787]
 
😂 😂 😂 😂 😂 Hahaha mpaka pale utakua na imani nae ndio napoa...

Kukazima phewwwwww ulitegemea hatofunga haha... Gori maridadi..

YNWA
Mimi binafsi yangu Nuniez ni mtu wa mwisho kumwamini pale mbele😆
Yaani Salah,Jota ,Diaz,Gakpo halafu ndio Nunez.
Hapo nimewapanga kulingana na Imani yangu.
 
Kama soon talisman atakua super Captain Chaos then like for like Salah is not needed as such kwa kua mfumo wenyewe utakua tofauti a bit..

YNWA

Ila kwa mdororo wa ligue ya Saudia sijui Kama Salah anafikiria bado kwenda, itategemea na summer watakujaje na ligi yao itakuwaje. Kule ni pesa tu hakuna kingine.

We shall see, and i wont be suprise akiongeza mkataba mpya with LFC
 
That means quality vs quantity.. Ni kweli depth imeongezeka kwamba sio tena timu ya mchezaji yule na huyu mbali ni collective contribution kwa kwenda mbele.. Hawa academy kids being given trials in real games nayo ni next level is kupunguza risk za injuries and saving energy season is still raw..
To increase quality ready made addition lazima kwa 1 CB na 1 DM.. Bajectic might take ages to get back to his level.. Endo seems like a wild card..

YNWA

Personally I would like to see DM (Andre) over CB, Gomez, Matip, Konate, VVd and now Quansah hapa labda apungue mmoja ndio aletwe mmoja. Otherwise i don see that CB bila offload.
 
Klopp must get this Samba boy at any cost... Kuchelewa akasepa kwingine itakua kosa kubwa. Kind of Enzo mistake aliyofanya Klopp, when talent is spotted with that price tag best idea wrap th deal

YNWA

Sure,. Its ideal vinginevyo itakuja kuwa kama Enzo , uliambiwa £35 ukagoma ukata kuja kumchukua kwa £100+
 
Back
Top Bottom