Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kipindi kama hiki sio cha kupokea kipigo maana Klopp utamsikia akisema upepo ulisukuma post za goli vile🤣🤣🤣....


Tupo na Westham next game Carabao....

Ingekua powa fainali tukutane na Chelsea aisee... Liverpool vs Chelsea pale Wembley hua pananoga sana

YNWA
 
Kaka mtuuuu🔥


Darwin Marvelous😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bhana hata Henderson alivyo cheza powa nilisema apangwe kabisa Team A kwa kua kipo alichotu offer bhana... Kama Henderson kwa zaid ya miaka 10 alipewa nafasi na ucaptain akapata pamoja kwamba 80% alikua hajui anatakiwa nn uwanjani lakini mashabiki walimvumilia mpaka pale Klopp alivyoona huyu ni wa hivi hivi so let's give the boy some space to prove whether tumepata ama tumepigwa kazi kwake sasa..

YNWA
 
Hilo Lina tofauti gani na la Trent wayback 2019 , alilofungia akiwa kati?😝😛
Lile huwa wanaonyesha kwnwye channel ya LFC
😂 😂 😂 😂 😂 Ila angefunga Domy kama nakuona....

In Nunez I Trust. The next frontier king gradually learning from th great Mo Salah.. Under Klopp tutelage sky is th limit..

Katazame Klopp aliwatoa wapi na kuwafikisha wapi wachezaji wafuatao
Lewandoski
Auba
Mo Salah Epl flop wit Chelsea
Mane middle epl table
Wote hawa walununuliwa kwa bei chee sana lakin aliwapadisha kufika elite levels with hefty price tag..

Hapo utaelewa kwa nini yeye hana papara na ubora wa Nunez

YNWA
 
Bobby umenishikilia tu😂😂😂
 
Mimi sifuati case study bwana😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hendo havumi lakini yumo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Imagine apo pale mbele ukitegemea pasi kisu kutoka kwa Henderson au Milner aaa not coming kabisa lakini sasa timu ina super harmony mdogo mdogo guys are getting kuelewana na taa imewaka..

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Thiago bhana sijui huu ushauri wa kutua EPL alimpa nani... Hii ligi sio ya Indian biscuits bones anahitaji hard core players... Kimsingi huu usajili ni hasara kubwa.. Amfuate Messi huko Miami.

YNWA
[emoji1787][emoji1787]Indian biscuits [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ombeni aendelee kuimprove hivihivi
Vinginevyo aisee,hautakunywa maji humu[emoji38]
 
Atakapowavua nitamsaidia kuwavua[emoji38]
 
Diaz anajionaga mtenda miujiza
Manjonjo meeengi aonekane amefunga kwa serekasi kama Jet Lee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…