Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ujue nilipoona hali imekuwa vile hasa 2nd Half, nikaanza kucheka mwenyewe tu. Nikakumbuka JK alipokuwa kwenye post match akisingizia hali ya hewa hapo mmepigwa kikosi hovyo, asemi hali mbaya ya kikosi aa, upepo ndio sabbu. Pamoja na kushinda upepo uliongelewa bado….
Kipindi kama hiki sio cha kupokea kipigo maana Klopp utamsikia akisema upepo ulisukuma post za goli vile🤣🤣🤣....

Screenshot_20231102_084204_org.telegram.messenger~2.jpg

Tupo na Westham next game Carabao....

Ingekua powa fainali tukutane na Chelsea aisee... Liverpool vs Chelsea pale Wembley hua pananoga sana

YNWA
 
Kaka mtuuuu🔥


Darwin Marvelous😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bhana hata Henderson alivyo cheza powa nilisema apangwe kabisa Team A kwa kua kipo alichotu offer bhana... Kama Henderson kwa zaid ya miaka 10 alipewa nafasi na ucaptain akapata pamoja kwamba 80% alikua hajui anatakiwa nn uwanjani lakini mashabiki walimvumilia mpaka pale Klopp alivyoona huyu ni wa hivi hivi so let's give the boy some space to prove whether tumepata ama tumepigwa kazi kwake sasa..

YNWA
 
Hilo Lina tofauti gani na la Trent wayback 2019 , alilofungia akiwa kati?😝😛
Lile huwa wanaonyesha kwnwye channel ya LFC
😂 😂 😂 😂 😂 Ila angefunga Domy kama nakuona....

In Nunez I Trust. The next frontier king gradually learning from th great Mo Salah.. Under Klopp tutelage sky is th limit..

Katazame Klopp aliwatoa wapi na kuwafikisha wapi wachezaji wafuatao
Lewandoski
Auba
Mo Salah Epl flop wit Chelsea
Mane middle epl table
Wote hawa walununuliwa kwa bei chee sana lakin aliwapadisha kufika elite levels with hefty price tag..

Hapo utaelewa kwa nini yeye hana papara na ubora wa Nunez

YNWA
 

Cc Saint Anne haya sasa msome th Don Klopp hapo akimwaga fact za dogo Nunez..

YNWA
Bobby umenishikilia tu😂😂😂
 
😂 😂 😂 😂 😂 Ila angefunga Domy kama nakuona....

In Nunez I Trust. The next frontier king gradually learning from th great Mo Salah.. Under Klopp tutelage sky is th limit..

Katazame Klopp aliwatoa wapi na kuwafikisha wapi wachezaji wafuatao
Lewandoski
Auba
Mo Salah Epl flop wit Chelsea
Mane middle epl table
Wote hawa walununuliwa kwa bei chee sana lakin aliwapadisha kufika elite levels with hefty price tag..

Hapo utaelewa kwa nini yeye hana papara na ubora wa Nunez

YNWA
Mimi sifuati case study bwana😂😂😂
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Bhana hata Henderson alivyo cheza powa nilisema apangwe kabisa Team A kwa kua kipo alichotu offer bhana... Kama Henderson kwa zaid ya miaka 10 alipewa nafasi na ucaptain akapata pamoja kwamba 80% alikua hajui anatakiwa nn uwanjani lakini mashabiki walimvumilia mpaka pale Klopp alivyoona huyu ni wa hivi hivi so let's give the boy some space to prove whether tumepata ama tumepigwa kazi kwake sasa..

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hendo havumi lakini yumo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Imagine apo pale mbele ukitegemea pasi kisu kutoka kwa Henderson au Milner aaa not coming kabisa lakini sasa timu ina super harmony mdogo mdogo guys are getting kuelewana na taa imewaka..

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Thiago bhana sijui huu ushauri wa kutua EPL alimpa nani... Hii ligi sio ya Indian biscuits bones anahitaji hard core players... Kimsingi huu usajili ni hasara kubwa.. Amfuate Messi huko Miami.

YNWA
[emoji1787][emoji1787]Indian biscuits [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
At Liverpool we support our own regardless of th form, they are pampered na singo huku wakipata ma hug kama yote kutoka kwa Klopp na ndio maana even when th going get tough Klopp always stand wit th players its kind off huona juhudi zao mazoezini na jitihada uwanjani namna vijana wanavyopambana aisee...

Na mwisho wa siku ni You'll Never Walk Alone iwe dry spell, loss of form nk nk mashabiki wapo pamoja nao

Never Give Up..
Robertson did it's..
Nunez heading there..
Tsimikas getting there..
In life ni kupambana tu hakuna namna

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ombeni aendelee kuimprove hivihivi
Vinginevyo aisee,hautakunywa maji humu[emoji38]
 
Nunez atamkomesha tu..!!! Dawa yake huyu ni kumuandama tu kila Nunez akihusika kwenye Goli.

Ila Nunez nae asituvungue nguo tu, maana hakawi saaaana.

So far ame improve compare na last season. Nachokipenda ni ile ari ya Kops wanavyo muimba atleast anaona kumbe naweza kumbe i have supporters regardless of what im going tbrough..!!! He will rock it
Atakapowavua nitamsaidia kuwavua[emoji38]
 
Ame improve na ataweka sana msimu huu ni suala la muda. Klopp amemuongelea juzi kwenye press conference. Nilichokipenda Klopp knows Darwin is not Bobby. Hivyo hamtumii kama bobby ila anataka Darwin adefend kupitia katikati as CF not so much deep.

Mie natamani Lucho from Colombia aanze kufunga na kuachana na mpira wa ninao mwingi. Hasa pale timu inapotaka matokeo. Walau aweze kufunga 15 goals, its a good additional
Diaz anajionaga mtenda miujiza
Manjonjo meeengi aonekane amefunga kwa serekasi kama Jet Lee.
 
Back
Top Bottom