Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Hii game Nunez atatupia ndani yani ikiwezekana ndiyo game ya kujipigia Hat trik hii
Nilisemaa na nitasemaaaa.Luton tusiwachukulie poa.
unakumbuka kuombea nyumbani kwa jirani yako na kwako kumeoza.Kesho Kanisani
Prayer point,Mungu wabariki Chelsea j3 wamtandike Spurs nje Ndani
Chelsea the blues Oya mwanetu OllaChuga Oc [emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Chelsea hoyee[emoji91]
Mi nawasubiri tu watetezi wakeAliyetukosesha ushindi ni Nunez
kwa kweli kamba anazokosaga nunez saa nyingine zinakeara
he is a good talent ila sometimes he leaves you with "wtf " question
Dah yaani tunatolewa jasho na Vitoto vinavyoshuka daraja
Mi nawasubiri tu watetezi wake
Wanajijua[emoji23]
Tukisema dogo ana papara, wanasema haters.
Kuu hapo ni ambition na sio ambitiousThe issue with Klopp. He has no ambitious with tittles.
Ujue pep 2nd half angewatukana wachezaji na wangerudi kwa ari, zote. Klopp yeye jamaa ni kubembeleza wachezaji muda wote wakikosea ni kuwakumbatia.
Ajifunze kwa makocha waliofanikiwa ukishaanza kubembeleza mchezaji hakuna kitu utafanya. Mechi imeisha mwamba ana smile as if tumeshinda, wakati wachezaji wanacheza utumbo, MACCA as anchor ni disaster lkn Klopp hupenda kuziishi akili zake hata kama hazimlipi.
Hehehe Mac Allister disaster tenaThe issue with Klopp. He has no ambitious with tittles.